boma2000
JF-Expert Member
- Oct 18, 2009
- 3,280
- 310
Kwa utaratibu wa kawaida miaka yote huwa naona kabla ya uchaguzi mkuu kufanyika huwa rais wa jamhuri anatangaza kuvunja baraza la mawaziri na makatibu wakuu wanakaimu kwa muda mfupi. Lakini mwaka huu kwa mara ya kwanza sikusikia Rais anayemaliza muda wake Jakaya Mrisho Kikwete amevunja baraza la mawaziri. inamaana kuna utaratibu mpya na adhari zake ni nini?