JK kwako hivi, huko kwingine hali ipoje?.

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
Why we need Education Development Fund. Please visit this picture gallery you will find the answer.
<TABLE border=0 cellSpacing=5 cellPadding=5 width="100%"><TBODY><TR><TD vAlign=center align=middle>
pic9.jpg
</TD><TD vAlign=center align=middle>
pic10.jpg
</TD></TR><TR><TD class=right vAlign=center align=middle>Insufficient sitting places in the Class </TD><TD class=right vAlign=center align=middle>Coupled with lack of proper place to keep their belongings e.g. school bags etc.</TD></TR><TR><TD vAlign=center align=middle>
pic11.jpg
</TD><TD vAlign=center align=middle>
pic8.jpg
</TD></TR><TR><TD vAlign=center align=middle>Sitting on the floor in a class without good floor </TD><TD class=right vAlign=center align=middle>Congestion in the class makes the learning environment unattractive to pupils</TD></TR><TR><TD vAlign=center align=middle>
pic12.jpg
</TD><TD vAlign=center align=middle>
pic13.jpg
</TD></TR><TR><TD class=right vAlign=center colSpan=2 align=middle>Lack of funds for rehabilitation of school buildings

<TABLE border=0 cellSpacing=5 cellPadding=5 width="100%"><TBODY><TR><TD vAlign=center align=middle>
pic14.jpg
</TD><TD vAlign=center align=middle>
pic15.jpg
</TD></TR><TR><TD class=right vAlign=center align=middle>A kitchen in one of the schools</TD><TD class=right vAlign=center align=middle>This sitting arrangement without banches. It is such a poor environment that calls for your attention and sympathy</TD></TR><TR><TD vAlign=center align=middle>
pic16.jpg
</TD><TD vAlign=center align=middle>
pic17.jpg
</TD></TR><TR><TD vAlign=center align=middle>One of the school buildings –Very dangerous to pupils and teachers </TD><TD vAlign=center align=middle>Even where the parents have built hostels congestion is a challenge </TD></TR><TR><TD vAlign=center align=middle>
pic18.jpg
</TD><TD vAlign=center align=middle>
pic20.jpg
</TD></TR></TBODY></TABLE>




</TD></TR></TBODY></TABLE>

Hizi picha zinaonyesha shule za Wilaya ya Bagamoyo kwa mujibu wa Tovuti ya Mfuko wa Maendeleo wa Wilaya ya Bagamoyo. Huko ndiko nyumbani kwa Mhe. Rais yetu wa Jamhuri, swali kuu la kujiuliza , iwapo mifuko ya maendeleo ya Elimu imekuwepo kwa muda mrefu na pia Bajeti ya Serikali ya JK imekuwa ikiongezeka mara dufu kila mwaka kwa ajili ya Elimu, ikiwa hali ndio hii huko nyumbani kwa Mhe. Rais na hajali kitu, sasa huko kwingineko anaweza kweli kuchukua hatua za maendeleo?.

BAGAMOYO EDUCATION BOARD
 
Mawazo mgando haya; na huo ni kuhalalisha ubinafsi uliokwisha onyeshwa na baadhi ya wanasiasa ; walipopewa uongozi walipendelea kwao! JK ni raisi wa nchi nzima sio Bagamoyo tu
 
inasikitisha watoto wana kiu sana ya elimu lakini miundombinu inawahujumu kiu ya kujitengenezea maisha bora ya baadae
 
Mikakati iliyowekwa na serikali yake ni pamoja na kuyanusuru maeneo ya namna hii yaliyosahaulika kwa muda mrefu na waliotangulia.
 
Anawajengea Bandari ya Uhakika na Uwanja wa Ndege hope kutakua na makazi ya wawekezaji ambao i guess watakuja na Familia zao so may be hao watoto wa wawekezaji watakamua katika hizo shule.......Sijui huwa tunawaza nini....Nilisoma katika mazingira kama hayo.....Inasikitisha kuwa mpk leo bado hali ni ile ile na bado naambiwa Uchumi unakua kila mwaka......
 
Mawazo mgando haya; na huo ni kuhalalisha ubinafsi uliokwisha onyeshwa na baadhi ya wanasiasa ; walipopewa uongozi walipendelea kwao! JK ni raisi wa nchi nzima sio Bagamoyo tu

Kumbuka kuwa Jakaya hakuupata urais overnight bali alikuwa mbunge wa Bagamoyo kwa miongo mingi tu; katika jitihada zake ndio aliwatimua Madc aliodhani wasingewaletea wakwere wenzie maendeleo na kuleta marafiki zake kama Jaka Mwambi kwa kutegemea kusukuma maendeleo huko; lakini matokeo yake ndio hayo kwenye picha. Suala hapa ni kuwa na uongozi unaoleta maendeleo ya watu na sio usanii!!
 
Na bado, endeleeni tu kuwaweka offisini muone kama mtatoka katika hali hii hata miaka mia ipite a yatakuwa ni haya haya!
 
na nakumbuka kule marangu wakati anafungua tawi la benki ya CRDB alisema by 2015 kila mwanafunzi atakuwa na kompyuta yake
 
Mawazo mgando haya; na huo ni kuhalalisha ubinafsi uliokwisha onyeshwa na baadhi ya wanasiasa ; walipopewa uongozi walipendelea kwao! JK ni raisi wa nchi nzima sio Bagamoyo tu

Maendeleo yanaanzia nyumbani mkuu, ..huyu bwana alipata kuwa Mbunge hili eneo huko kabla ya U- Preda. Achilia mbali pia kuwa yeye ni mzawa wa Eneo hilo (Mtoto wa Nyumbani), nani ambaye anaweza kuaona nyumba yake inaungua akakimbia kuzima moto kwa nyumba ya jirani?!. Hizi picha zimewekwa kwenye tovuti ya Mfuko wa Elimu- Bagamoyo ikiwa ni kampeni ya kutafuta wafadhili wa kuchangia maendeleo ya Elimu huko, tafsiri ya jumla ni kuwa, wachangiaji waone kwanza hizi pics za aibu za eneo husika ili waweze kuchangia..

Katika kipindi chote cha maisha yake yaonyesha hakuweza kufikiri kuwakwamua hawa wa kwao kwanza..hiki ni kiashirio kuwa inahitaji nguvu kubwa kuwakwamua watanzania zaidi ya milioni 40 kwa mtu asiyependa maendeleo.
 
naomba kutoa ufafanuzi, picha ya kwanza juu kulia ni kijana mkubwa wa ndugu yetu MALARIA SUGU.
 
Kumbuka kuwa Jakaya hakuupata urais overnight bali alikuwa mbunge wa Bagamoyo kwa miongo mingi tu; katika jitihada zake ndio aliwatimua Madc aliodhani wasingewaletea wakwere wenzie maendeleo na kuleta marafiki zake kama Jaka Mwambi kwa kutegemea kusukuma maendeleo huko; lakini matokeo yake ndio hayo kwenye picha. Suala hapa ni kuwa na uongozi unaoleta maendeleo ya watu na sio usanii!!

Mkuu Bulesi, kumbe tatizo la huyu mshikaji JK kutoa kazi au ku-appoint marafiki zake alilianza toka enzi ya Ubunge!! Kweli hali inatisha ila hii ndo tabia ya Mafisadi anaweza kuishi nyumba ya gorofa wakati jirani yake ana choo na bafu vya nyasi, nayeye hajali sembuse hilo la shule???
 
na nakumbuka kule marangu wakati anafungua tawi la benki ya CRDB alisema by 2015 kila mwanafunzi atakuwa na kompyuta yake
...Duh! Huenda mkuu wa kaya kumbukumbu zinampa tabu inabidi wasaidizi wake wawe wanamkumbusha kuwa kule uliahidi madawati na bado hujatekeleza kwa hiyo achana na mambo ya kompyuta kwanza.....
 
Na hii ni baada ya serikali ya CCM kutekeleza ilani yake ya uchaguzi ya 2005-2010 kwa zaidi ya asilimia 90.... Kazi kweli kweli:A S tongue:
 
Halafu hao ndio wanaambiwa kuwa baada ya miaka mitano kila mmoja atakuwa na kompyuta iliyounganishwa na intaneti
 
Mawazo mgando haya; na huo ni kuhalalisha ubinafsi uliokwisha onyeshwa na baadhi ya wanasiasa ; walipopewa uongozi walipendelea kwao! JK ni raisi wa nchi nzima sio Bagamoyo tu

hata Yesu alisema "toa boriti lililopo jichoni kwako ndipo utoe kibazi kwenye jicho la mwenzako."
sasa kama ni wa nchi nzima mbona bado shule nyingi tuu zimebaki hovyo sana!
Unawezaje kutoa msaada kwa jirani yako ilhali kwako kunateketea?
 
nafikiri Tanzania inaongoza kwa unequal distribution of National CAKE....inaliwa na wachache ,majority ndo kama hizo picha zinavyoonyesha...ni aibu kwa viongozi kujilimbikizia mali au kugawana cake wao wenyewe:A S-eek: ilhali sekta muhimu kama elimu na afya zinatetereka kama sio ku-shake!
 
Shule?
Nani amewahi kumwona Rais Kikwete akifungua shule?
Kama ni ofisi za wabunge za Mil170 hapo sawa. Wewe unasema shule? Wakati wabunge hawana ofisi majimboni?
 
karne hii bado kuna haja ya kiongozi wa nchi kuzindua kisima cha maji au jiwe la msingi???hizo cost za msafara mzima na ziara zingeweza kutumika kujenga kijizahanati cha mama na mtoto........au kurepear hayo madarasa aka magofu...
 
Kwakifupi nchi hii inaendeshwa kwa usanii sana. Swala zima la elimu halijatiliwa maanani kabisa.
Pesa nyingi zinaishia kwenye safari za hao wanao act kuongoza nchi, mara UK kufungua mkutano wa Diaspora, misafara isiyokuwa na sababu za msingi wakati watoto wanasomea chini ya miti.Hii yote ni kwa sababu wapo madarakani kwa njia za kisanii tu tena kwa maslai yao binafsi.

Naona T-shirt, vitenge, kanga na kofia tayari watu wameaaza kuuza kura zao kwa hizo zawadi ambazo hatma yake ni kuwa na viongozi wasiojua uongozi. Sioni sababu ya kuwafukuza wakoloni nchi hii, ni kama tumetawaliwa tu hakuna lolote ikiwa hali ya nchi bado ni kama mkoloni alivoiacha!
 
Back
Top Bottom