JK Kuzidi kuleta heshima ya Fedha na Ajira Nchini

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
Baada JK kumrithi Mr. Safi , hali ya maisha inazidi kuwa ngumu, hasa ubande wa upatikanaji wa fedha. Katika kipindi alichoongoza Mr. Safi palikuwepo mianya mingi ya kupata pesa kwa njia yoyote ile imladi upate pesa.
Wakti wa Mr. Clean palikuwepo, ujambazi mwingi wa kutumia siraha, uvamizi wa mabenki, utapeli wa kimataifa, kampuni nyingi za mifukoni zilizokuwa zinakwepa kodi, makundi ya maafisa ugavi walijiona Mungu mtu, wakurugenzi walikuwa hawafikiki, wanasheria wengi walikuwa hoi sana, watu wengi hasa maofisa walikuwa hawawezi kunywa bila wanawake pembeni (Vidumu) ajira zilitegemea sana hongo za ngono, upendeleo nafasi za jeshi na polisi.

Sasa kiama baada ya JK, ujambazi ulikoma kiasi kwani wafadhili wakuu walikamatwa na kutishwa wakaamua kuacha au bado wanaendelea kimya, kama unakumbuka yule mzee wa majumba mengi dar na Arusha. Matapeli wengi wakina Papa Ms walipunguza kasi, maafisa ugavi walifilisika kabisa, mawakili walizidi kutanua sana na mapesa ya utetezi wa EPA na Majambazi, sasa hivi wakongo wengi wanatamani kurudi kwao maana hawatuzwi tena kwenye nyimbo zao. vijana na wazee hawataki tena kukaa na wanawake.

JK kafufua uamasho wa walimu kujiongezea kipato kwa kujikopesha ingawawaje hii boycott ya mke wa mr.Safi itawatoa roho, ajira za walimu wa kata zimeongezeka, madereva wa jeshi, na serikali kutangaza ajira za moja kwa moja sio zile za undugu wakati wa Mr. Safi. Kwa hivi sasa watu wanasoma sana ili waoongezee ajira ndio maana ukienda chuo kikuu uria wapo wazee wengi wanasotesha kisomo. Hongera JK kwa hili.

Kama una mengine zaidi ongezea
 
sitetei mtu hapa ila ukweli wa ugumu wa maisha ndio umetufikisha hapa, watu tumepunguza pombe, idadi ya magari, totoizi na hongo za mara kwa mara, wamebaki wanasheria na maafisa Usalama tu ndio bado wana mambo ya mpe tano huyo, lete kama tulivyo.
 
Back
Top Bottom