JK Kutangaza wakuu wapya wa Mikoa?

Status
Not open for further replies.
Kumbuka pia anazidi kuongez amzigo kwa walipa kodi anateua wapya kibao anastaafisha wengoi zaidi....wote huo mzigo wetu!!!nakumbuka Pinda alisema chakato utakuwa tayari mwezi May nakumbuka sana alisema bungeni mwezi Feb kama sijakosea....walikuwa wanapambana na mikoa mipya na wilaya mpya gharama tupu
 
kwa wapenz wa matilda mcjal lzma jamaa ampe mkoa..chakuulaaa tena.hii ndo bongo bna
 
Mwacheni apange safu za ushindi jamani,Si mnadai mabadiliko kila siku ?Yakija nayo mwalalamika yasipokuja nayo mwalalama ,Lenu zuri ni lipi.Mwacheni Mkuu wa Nchi afanye kazi kwa Uhuru.Na nyie timizeni wajibu wenu !!Acheni majungu na kupiga domo...............(BWM 1998)
 
Ninacho fikiri mimi Mheshiwa Kikwete anajipanga kwa ajili ya uchaguzi wa 2015,kwani katika CCM ndani kwa ndani kuna makundi yanayotaka madaraka kuliko hata wapinzani na wana nguvu kubwa. Hivyo anajaribu kupanga kikosi kazi ambacho kitamsaidia kumweka madarakani mtu atakaye mtaka yeye,Ikumbukwe kua toka kuvunjwa kwa baraza la mawaziri kipindi cha Richmond hajafanya uteuzi wa Ma Rc na ma Dc,waliopo sasa hivi ni wale waliowekwa na Mheshiwa waziri mkuu mstaafu,na hiyo safu aliyokua ameiweka aliipanga makusudi ije imsaidia kuingia Ikulu 2015 baada ya Swaiba kumaliza muda wake.

Mkuu labda kujaribu kumsaidia kumweka mtu wake madarakani kwa sababu uhakika wa madaraka hayo kwenda CCM hupo kama wakati Mwinyi anaingia Ikulu!!
 
Kwa Katiba na muundo wa serikali yetu ya sasa, Rais lazima kuteua wakuu wa wilaya na mikoa. Akimaliza wakuu wa wilaya na mikoa atateua wakurugenzi wa majiji, manispaa na wilaya.

Mh. Rais awe makini katika kupanga timu yake hususani vijana wasomi na wazoefu (wazee wawe wachache sana kwa ajili ya ushauri), maana ni timu hiyo hiyo itakayowapelekeni fainali za 31 October 2015.
 
These positions are not constitutional however, given the role played by these Rcs it is impossible to remove Rc Positin on the ground of cost cutting measures ( Remember Rcs are CCM Cadre)
I am just being curious. Aren't these positions constitutional? If yes, then scrapping them would require moving a motion for constitutional amendments that will expunge the provisions catering for these positions. If not, then I would agree that the Executive should consider these as an avenue for cost reduction (if removed). That can be done after strengthening the local government.
 
makamba, bashe, mongela, tambwe, shitambala, yono auction mart, law masha, mpesya, violet mzindakaya, rizi one, makongoro nyerere, kawawa, william malecela, bonifas makene, mhingo rweyemamu ndani ukuu wa wilaya na mikoa. Kalembo, kone, balele, babu, sadik, lukuvi, nje.......zamu ya akina ukoo wa akina fulani sasaaa maana baba zao ndo wamemfikisha hapo alipo


Makene Boniface mbona hafai kuwa hata katibu kata!!

Sidhani hata kama ni CCM, kwani Chama hakishirishwi katika kuteuwa ili waweke makada wa chama, au hiyo ilikuwa zamani!!
 
... Long overdue!!!

Typical reflection of the government with is not time sensitive, ndio maana kuna files za mwaka 2007 hadi leo zimekaliwa tu... kasi mpya hiyo
 
:dance:Nafasi ya mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya ni muhimu kwa mfumo wa utawala wa aina ya kina JK na chama chao! The problem is hao wanaopewa kazi hizi ni so incompatible na majukumu yenyewe kiasi nafasi hizi zimegeuzwa kuwa za vichekesho fulani - imagine those funny characters ( baadhi yao ) zilizopo hivi sasa! :dance:
 
Mbona walisema mikoa na wilaya mpya zitaanza mwezi July? Ninadhani uteuzi utakuwa mwezi Juni au Julai. Ata hivyo, ni wachache watateuliwa maana karibia wote wa zamani wataendelea....Ngoja tusubiri
 
Baada ya kusemwa sana kwenye mikutano ya chadema ha ha ha ha kazi kwelikweli

Waau! Hi ni sawa na kisa cha kalumekenge!!! Majina yanatangazwa baada ya kusemwa na cdm!
Yaonekana kabisa walikuwemo akina kalumekenge sasa wamewachakachua baada ya semina elekezi nnnn!

Haya! maji zima moto,moto choma fimbo,fimbo chapa kalumekenge! Nenda shule!!!!! :pound:Watch-out!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom