yule dada DC wa manyoni yupo?
habari nlizozipata jamaa kamaliza kuandaa orodha yake tayari kwa kusomwa hadharani
List ya jamaa au ya Lowassa?habari nlizozipata jamaa kamaliza kuandaa orodha yake tayari kwa kusomwa hadharani
Labda anaona inaruhusu CDM kuandamana na kuendelea kukubalika zaidi kwa wananchi
anataka kuwapiga chini anaowasingizia kuwa wanamuangusha. si unakumbuka vile alisema anaagiza mawaziri waende vijijini? ile ilikuwa ni gia ya kupiga watu chini aweke watu wake waliotuma maombi ya ulaji kwake.am tryin to ask myself... do we really need them?:smash:
am tryin to ask myself... do we really need them?:smash:
Ninacho fikiri mimi Mheshiwa Kikwete anajipanga kwa ajili ya uchaguzi wa 2015,kwani katika CCM ndani kwa ndani kuna makundi yanayotaka madaraka kuliko hata wapinzani na wana nguvu kubwa. Hivyo anajaribu kupanga kikosi kazi ambacho kitamsaidia kumweka madarakani mtu atakaye mtaka yeye,Ikumbukwe kua toka kuvunjwa kwa baraza la mawaziri kipindi cha Richmond hajafanya uteuzi wa Ma Rc na ma Dc,waliopo sasa hivi ni wale waliowekwa na Mheshiwa waziri mkuu mstaafu,na hiyo safu aliyokua ameiweka aliipanga makusudi ije imsaidia kuingia Ikulu 2015 baada ya Swaiba kumaliza muda wake.
Hii list iliopo ina tatizo gani