Jk KUPEWA UDOKTA NA KILA KUKICHA-UDHAIFU AU UIMARA??

...watu wanakupa unachotaka,bana! wanajua Kikwete (BA) anapenda nini (maujiko, misifa na kutaka kuonekana yupo dunia ya wakata nondo) so hawa boot lickers wanacheza na akili ya Mkwere.

Kikwete (BA) VS Slaa (PhD).....Kinana (BA) VS Baregu (PhD)
 
Moja ya kauli ninayoiona inarudiwa rudiwa ni kuwa anataka watunzania wamkumbuke,
Sasa May Be anataka kuweka rekodi ya Udoka???:blah:
Hali ya AFYA inaridhisha?
Hali ya ElimU Tz inaridhisha?
Hali ya Umaskini Tz inatoa Unafuu?:whoo:
Mbona 98% Tumefulia???
 
Tatizo lako wataka kila kitu kiwe sawa kama unavyotaka wewe kwa siku moja tu, huu ni mchakato. Na kukua kwa uchumi wa nchi ni kama jinsi mtoto anavyozaliwa. Ww wataka mtoto akizaliwa hapo hapo atembee, haitowezekana sio kwenye dunia hii

Mtoto wa miaka kumi anapokuwa bado hajaweza kuongea au kufanya mambo yanayofanywa na watoto wa umri huo huwa ana matatizo ya mtindio wa ubongo. Tanganyika yenye miaka 49 tangu uhuru bado inaombaomba kama nchi iliyopata uhuru jana ina matatizo ya mtindio wa ubongo. Na ubongo wa nchi ni viongozi wa ngazi ya juu na hasa wasomi wake.
 
Hivi kupata madegree ni ishu rahisi? ndio maana huyu JK anawadaharau sana wasomi anaona anafanana nao kiutaalamu kumbe degree zake za mfukoni, JK kaa shule uone utamu na uchungu wa shule.Hovyo kabisaaaaaaaaa hii.
 
Doctorate - Wikipedia, the free encyclopedia wanasiliba kabisa on honorary doctorate kwamba ".............When a university wishes to formally recognize an individual's contributions to a particular field or philanthropic efforts, it may choose to grant a doctoral degree honoris causa (i.e., "for the sake of the honor"), the university waiving the usual formal requirements for bestowal of the degree.[20][21] Some universities do not award honorary degrees, for example, Cornell University,[22] the University of Virginia,[23] and Massachusetts Institute of Technology[24])".

Anza pima JK's contribution(s) in any field, wonder if you'll find something measurable and outstanding to qualify him into being being awarded a PhD.

Acha uvivu wa akili, nenda kasome wasifu ndio utapata jibu
 
Tatizo lako wataka kila kitu kiwe sawa kama unavyotaka wewe kwa siku moja tu, huu ni mchakato. Na kukua kwa uchumi wa nchi ni kama jinsi mtoto anavyozaliwa. Ww wataka mtoto akizaliwa hapo hapo atembee, haitowezekana sio kwenye dunia hii
Thank you and I appreciate you!
 
Huu ni ufisadi wa elimu!!Hivi vyuo vyetu vikuu kwa kweli si makini hata kidogo!!
 
Huwa ni vigezo gani vinatumika hili li nchi
bana umasikini umetutawala mpaka umeathiri
hata ubongo wa watz hatuwazi vitu vya
kufanya vya maana m2 hosp hakuna dawa
hakuna barabara safi Ajira hakuna
hakuna elimu bora matatizo kibao Mara
Richmond EPA rada hio phd anatunukiwa
amefanya nini kutatua haya hio phd dowans
wanaigopa ?ili tuseme wataogopa kudai
fidia ya 185bln?
 
Hizo ni political offers. wanatoa kwake wa kuwatimizia matakwa yao tu.. Hali halisi ya watanzania ni mbaya na aibu kubwa..
 
GreATtHinkErs,
LEts Tok-mimi kwa kweli natatizika. Nitoeni wasi wasi na huu Utitiri wa Udokta kwa JK

...usisumbuke sana na titles,...wapo waliojiita "His Excellency President for Life, Field Marshal Al Hadji Doctor, VC, DSO, MC, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Sea, and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Uganda in Particular, The king of Scotland..." ...mwisho wa yote hadhi yetu ni Titled; MAREHEMU :rip:
 
Watafiti watusaidie, kama sio movie ya kisiasa ya kizushi, mbona baba wa taifa JKN hakupewa utitiri wa PhD's ijapokua uongozi wake ulikua juu na wa kutukuka ? Haingii akili wakati taifa likisota kwa hali mbaya ya uchumi na ufisidi ulio kubuhu, mkuu wa nyumba akapambika tu bila kua na maswali magumu yanayo ulizwa juu ya msitakabali wa taifa hili.PhD hizi zinatusaidia nini sisi kama watanzania ambao tupo choki
 
Tatizo lako wataka kila kitu kiwe sawa kama unavyotaka wewe kwa siku moja tu, huu ni mchakato. Na kukua kwa uchumi wa nchi ni kama jinsi mtoto anavyozaliwa. Ww wataka mtoto akizaliwa hapo hapo atembee, haitowezekana sio kwenye dunia hii

Bwana wewe inaonyesha unatetea sana mambo ya kukua kwa uchumi. waweza kutufahamisha ile ndege ya uchumi tuliyokuwa tunaambiwa iko runway inasubirikupaa, imefikia wapi sasa katika safari yake. Hongera Dr mara 5 jk.
 
Common sense. Hao wakuu wa vyuo vya ndan wanachaguliwa na nan? So it just natural kumutunuku bwana wao.
If its a neighbourin country, they a de same mafisadi wanapeana hongera kwa kufisad walalahoi
 
Common sense. Hao wakuu wa vyuo vya ndan wanachaguliwa na nan? So it just natural kumutunuku bwana wao.
If its a neighbourin country, they a de same mafisadi wanapeana hongera kwa kufisad walalahoi
 
attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php
 
Back
Top Bottom