JK kumpooza Masha na cheo gani?

Embu mtetee kwa ID nyingine tuone ukongwe wako

Hata Shetani aliwahi kumjaribu Yesu, eti kama kweli wewe ni mwana wa Mungu jirushe toka mlimani na malaika wa Mungu watakudaka na kukupoke.
Kwa hilo....humpati mtu labda hao wana mipasho wenzio. Jaribu jengine
 
Kiukweli hakutakiwa kumteuwa kuwa mkuu wa Wilaya wala Mkoa kwa sababu wanachi walimwamini wakampa ubunge, raisi akamwamini pia akampa uwaziri lakini hakuonyesha juhudi ya utendaji kazi na wananchi wakakosa imani nae tena kwa nguvu ya pamoja wakambwaga sasa huyo huyo ambae wananchi hawana imani nae tena anateuliwa awatumikie wananchi unategemea nini hapo.
tuikumbuke na skendo yake ya vitambulisho vya uraia,
Kiukweli hatumtaki kabisa kwani yupo peke yake TZ hii
 
kama kawaida umetumwa....join data 1st March 2011 ,number of posts 2...hahaaaaaa

Ukisikia neno mnafiki wa serikali basi ujue katika list na wewe umo, wewe hujatumwa na mtu ila shetani ndio anakuongoza kwahiyo unajihisi uko sawa kumbe una tatizo. kama wewe sio mnafiki taja ulivopost hii ulikuwa unataka nini kwa wana Jf? Je kama ungekuta wewe ndio umelistiwa kwenda kuwa mkuu wa simiyu ungeandika? Acha habari za unafiki. Usipokuwa makini na kalamu/vidole utajifikisha pabaya.
 
Back
Top Bottom