JK Kuhudhulia ufunguzi wa Kibo Palace & Snow Crest Hotel Arusha

katika kuonyesha yeye na mafisadi damu damu mh rais akiwa njiani kwenda monduli majuzi alifungua hotel nyingine ya fisadi mramba basil akimshirikisha bw mmoja kivuli william,...iitwayo "SNOW CREST" iliofunguliw a kwa mbwe mbwe na vifijo huku arusha nzima ikiwa hoi kujua nini kinaendelea,,..
anyway ni moja ya fadhila lakini hatudhan rais anaitaji kuwa cheap kihivi kwa washenzi kama hawa na hivyo kutufanya kukosa imani na haya makesi yasiyoisha....
na je,
una uhakika gani kwamba kakaake nguli ni FISADI?:D
 
We lack a firm person to govern this country!

We kila kitu unafungua tu..unafungua tu....No even querrying?...

Mtu ana makesi mahakamani, na bado hayajaisha, unabariki hoteli yake..Wapumbavu hawa watu...!! TOO BORING!
 
Kama Mmiliki wa Hotel ni William kama ulivyosema, sasa huyo mramba hapo ameingiaje?
 
We lack a firm person to govern this country!

We kila kitu unafungua tu..unafungua tu....No even querrying?...

Mtu ana makesi mahakamani, na bado hayajaisha, unabariki hoteli yake..Wapumbavu hawa watu...!! TOO BORING!
sasa si washikaji zake mkuu?!:D
 
Katika original post ya JK kufungua hii hotel nilisema JK hata kwenye birthday party ya mtoto wako unamleta tu, with full presidential regalia, regalia knaamean?

Si unapledge a couple hundered million shillings to his campaign chest tu?

JK ana intelligence zote kuhusu wabongo, elimu nyao, nani anaweza kufurukuta nini, Jamiiforum inaendeshwa na nani, na inawafikia watanzania wangapi, na wangapi watampigia kura 2010, mpaka ana confidence ya kusema 70% ya wabongo ni bendera fuata upepo.

Anajua anapeta tu, sasa kwa nini asiweke show ya kumshtaki Mramba (ambayo inampa ujiko kichizi) and at the same time aende kufungua hoteli yake?

Na haya yote chamtoto, matusi ya JK mtakuja kuyaona term ya pili ambapo atakuwa hana hofu ya kuchaguliwa tena, I tell you mark my words.

Somebody bookmark this page, archive it, and come back to it in 2015 !
 
Roger broda!..
I can see 85% accuracy to this acronym.

Natafsiri kwa lugha ya kigeni

Roger broda!..

Message received

-indicates that the speaker has received and understood a transmitted message

Mwisho wa kutafsiri.
 
Mnategemea nini chini ya system ya ubepari?wanaochangia zaidi ndiyo wenye ku call the shots,ndio maana Obama alitaka michango yake iwe in form of small amounts kutoka kwa supporters wake na wananchi wengi walikuwa encouraged kufanya hivyo.Chini ya mfumo wa kibepari, mwenye kuchangia zaidi ndiyo mwenye nguvu,so chini ya system hii iliyooza sioni tofauti, ni sawa tu na zile kelele alizoziita JK za mlango,kwa jinsi mambo yanavyokwenda ndivyo nazidi kumwelewa JK....Urais wake una ubia,na system ndiyo imefacilitate hayo,siasa zilitumika kuwadanganya wananchi kuwa eti "Urais wangu hauna ubia"
 
Mmeshaambiwa wenye hotel walikopa toka PTA bank $9 mio.! Sasa ufisadi wa Mramba unatoka wapi? Acheni wivu na chuki enyi Watanzania! Tuache roho ya kwanini!? Wenzenu wanakata mbuga kwenye maendeleo!
 
Just to share my view:-

There could be two scenarios:-

a. Normally and assumingly, there is an official function i.e. Monduli Army
passover, the Regional Authorities are required to prepare a programme
which can cover other 'promotional'activites and or social works in their
region.
So and perhaps this lead to incorporating this 'official opening' of the
hotels.

b. Sometimes, the respective owners request for a grand opening and
willing spend funds to 'offset' costs for the trip at the local ikulu
premises along with pledges to ruling party.

There is aways a perceived stigma that when 'leaders'open such places
there is bound to be a 'protection'ring around their investment.

Kibo Palace, of what has been mentioned here was a joint venture between Laswai and Mramba but in the wake of scandal, they decided to sell off the same to the Kenyatta family as fears was that due to Mramba's name being 'there' it could raise problems later.

Snowcrest, has the Tarimo family but somehow I could not get other names.

It also does not necessarily mean that a person ulitised loans only from bank to construct a place. Maybe it was a cover and or ran out of funds to finish the same?:mad:
At times, maybe the media coverage is weak by not detailing names of the so called owners if and when mentioned?
 
Back
Top Bottom