JK kufanya mahojiano na watoto.

Duh! Mi naamini kabisa kwamba JK = George BUsh, no wonder walikuwa best buddies... huyu atamaliza muda wake kama Dubya burying his head in the sand while the country goes to the dogs....
Na kwa ile analogy ya kuwa Dubya alikuwa na watoto wa nursery during 9/11- and look how much comedy and jokes were made about it. Mi naomba niwe communications manager wa Chadema ili niweze kudaka mdahalo huu alafu nitengeneze a beauuuuuutiful Campaign advertisement for Chadema.... yaani I can hardly wait nitafutwe kwa kazi hiio... Storyboard iko tayari.... kwikwikwikwikwi
 
Back
Top Bottom