JK Kiboko kwa Misemo...Hebu ona hii!!!

Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
2,591
1,599
Huwa nikikumbuka misemo ya mkulu wetu JK sometimes mbavu zinavunjikavunjika...hebu ona mwenyewe hii misemo yake...mhh...
...wanafunzi wanaopata mimba ni kiherehere chao!.....!
...ukitaka kula sharti uliwe............!
...akili za mbayuwayu changanya na za kwako.....!
...inabidi wataalam mpime DNA za hawa maiti wote waliopatikana kutoka kwenye hii meli ili tuweze kujua ndugu zao.......
ongezea misemo yake mingine iliyokuacha kinywa wazi!
.....................
......................
................
 
ninanamda sijamsikiliza maana sionagi cha kujifunza kwa huyu mdhaifu...aliwahi kwenda kufungua visima vya maji kumbe viongozi wake wameweka matank chini halafu wakajaza maji kutoka sehemu nyingine na aliwahi kufungua hotel usikuwake ikabomolewa na serikali kwa kuwa ilijengwa brbrni...kifupi tuna kituko aka dhaifu
 
mhh!...hilo la visima nalo kiboko...ia maana hayo matank yalizikwa usiku wa manane ila wananchi kujua?
ninanamda sijamsikiliza maana sionagi cha kujifunza kwa huyu mdhaifu...aliwahi kwenda kufungua visima vya maji kumbe viongozi wake wameweka matank chini halafu wakajaza maji kutoka sehemu nyingine na aliwahi kufungua hotel usikuwake ikabomolewa na serikali kwa kuwa ilijengwa brbrni...kifupi tuna kituko aka dhaifu
 
Baada ya kuumbuliwa kitaifa na kimataifa kwenye maoni ya bajeti yenye mapato "0" mnaanza viroja.
 
huyo mtu kuna kipindi alitembelea nchi moja huku mashariki ya mbali na kasisitiza wanafunzi wa kibongo wasiwe majogoo ya kuazima...maana yake wasiishie tu kujigjig na wazawa bali wafanye kweli kwa kuwazalisha
 
anazunguka tuuu kuomba misaada wakati uchumi unatumiwa na mafisadi pamoja na haohao anaowaomba hiyo misaada-dhaifu*100000
 
Huwa nikikumbuka misemo ya mkulu wetu JK sometimes mbavu zinavunjikavunjika...hebu ona mwenyewe hii misemo yake...mhh...
...wanafunzi wanaopata mimba ni kiherehere chao!.....!
...ukitaka kula sharti uliwe............!
...akili za mbayuwayu changanya na za kwako.....!
...inabidi wataalam mpime DNA za hawa maiti wote waliopatikana kutoka kwenye hii meli ili tuweze kujua ndugu zao.......
ongezea misemo yake mingine iliyokuacha kinywa wazi!
.....................
......................
................

ukiwa kiongozi inabidi uwe na NGOZ NENE
 
huyo mtu kuna kipindi alitembelea nchi moja huku mashariki ya mbali na kasisitiza wanafunzi wa kibongo wasiwe majogoo ya kuazima...maana yake wasiishie tu kujigjig na wazawa bali wafanye kweli kwa kuwazalisha

hahahhahaaaaa,mh.,......jaman kama kiongoz anasisitiza haya,hapo ipo namna
 
[QUOTE=Bajabiri;41hahahhahaaaaa,mh.,......jaman kama kiongoz anasisitiza haya,hapo ipo namna. Nae pia si ni mzee wa kusambaza
 
mara ya mwisho kumsikiliza ni siku alipowachana live waislamu kule Dodoma kuhusu madai yao ya OIC,Mahakama ya Kadhi.... Na sijui ile hotuba aliandikiwa dhaifu yule?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom