JK: Kazi ndio imeanza!

DHAIFU hana jipya anaendeleza usanii tu!!! Kama siyo shinikizo toka Bungeni Ngeleja, Mkulo na Maige wangeendelea kupeta kama "waheshimiwa mawaziri"

Akiwahutubia mawaziri baada ya kufanya workshop malasya JK amewaambia sasa kazi ndio imeanza, inabidi wawe focused, waweke mechanism/system ya ku-track projects zilizo chini na ministry zao na wakishindwa kudeliver hatasita kuwatema.

Haya yamekuja mwaka 2012, mwaka wa saba toka ameingia madarakani na akiwa amebakiza miaka mitatu tu!

hiki ni kitu watanzania tulikua tunajua na tunategemea kutoka kwa rais wetu toko mwaka 2005 November, bahati mbaya kimekuja 2012 August
 
Back
Top Bottom