tatanyengo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 1,134
- 280
Idi akihutubia Mawaziri wake....
Kumbe Idd Amini alikuwa jembe! Watanzania kuchekeana kumezidi.
Last edited by a moderator:
Idi akihutubia Mawaziri wake....
Aliyafanya mwaka uleule labda unasahau zile semina za Ngurudoto?. Ziara za ghafla ghafla maofisini?.
Haya yamekuja mwaka 2012, mwaka wa saba toka ameingia madarakani na akiwa amebakiza miaka mitatu tu!
hiki ni kitu watanzania tulikua tunajua na tunategemea kutoka kwa rais wetu toko mwaka 2005 November, bahati mbaya kimekuja 2012 August
Unajua tukiona matendo kuliko maneno ndio tutaamini yuko serious
Akiwahutubia mawaziri baada ya kufanya workshop malasya JK amewaambia sasa kazi ndio imeanza, inabidi wawe focused, waweke mechanism/system ya ku-track projects zilizo chini na ministry zao na wakishindwa kudeliver hatasita kuwatema.
Haya yamekuja mwaka 2012, mwaka wa saba toka ameingia madarakani na akiwa amebakiza miaka mitatu tu!
hiki ni kitu watanzania tulikua tunajua na tunategemea kutoka kwa rais wetu toko mwaka 2005 November, bahati mbaya kimekuja 2012 August
Hao jamaa kwenye blue waanzie wapi wakati wanapokea bahasha (KIFUNGA MDOMO) kabla ya MIKUTANO na Mr. DHAIFU! na maswali ya kumuuliza wapewa na maafisa wa ikulu!.Kuzungumza tu haitoshi tunataka vitendo japo muda unataraadadi... kama ni kuimba alishaimba sanaaa
hivi lile na kutenganisha siasa na biashara aliishia wapi au kapitiwa!!.. mbona waandishi wa habari hawamuulizi ??
Akiwahutubia mawaziri baada ya kufanya workshop malasya JK amewaambia sasa kazi ndio imeanza, inabidi wawe focused, waweke mechanism/system ya ku-track projects zilizo chini na ministry zao na wakishindwa kudeliver hatasita kuwatema.
Haya yamekuja mwaka 2012, mwaka wa saba toka ameingia madarakani na akiwa amebakiza miaka mitatu tu!
hiki ni kitu watanzania tulikua tunajua na tunategemea kutoka kwa rais wetu toko mwaka 2005 November, bahati mbaya kimekuja 2012 August
Hao jamaa kwenye blue waanzie wapi wakati wanapokea bahasha (KIFUNGA MDOMO) kabla ya MIKUTANO na Mr. DHAIFU! na maswali ya kumuuliza wapewa na maafisa wa ikulu!.
Na baada ya kufanya hivyo Waziri Mkuu msitaafu anasema "Jakaya Kikwete ni rais wa kwanza katika historia ya Tanzania kujali wafugaji kwa kiasi kikubwa mno na kiongozi mwenye uwezo wa kuchukua uamuzi wa kijasiri, kishujaa na kwa uadilifu."
halafu Tende na maji baada ya mkutano (si mnakumbuka ikulu juzi?)
Hii ni contradiction. Mawaziri kufanya workshop malaysia ni shilingi ngapi kufanikisha hiyo. Hiyo hela haitoshi kununua citi scan moja?
this country needs sober leaders
the economy is in meltdown stage, crooks are governing our people and the few are enjoying the gift of the nation
god bless this country come 2015