JK kawasili hapa Rwanda, kwenye Sherehe za miaka 50 ya Rwanda

Nakumbuka Rais wangu Dr W Slaa alisema huyu Dhaifu ni Janga la taifa, sasa tunaona Madhara yake. Kweli Mr. Dhaifu ni Chaguo la Mashetani. Huyu shetani ni wakupiga risasi tu

Kama wananchi mmefikia hapo basi inaelekea mmechoka na uvumilivu na mnasema "Liwalo na Liwe"!!!
 
Jamani sasa kama hana majibu ya matatizo ndani ya nchi yake afanyeje? Mwayego JK kula zako bata ujipunguzie streeess!!
 
Hivi ule utaratibu wa kuchukuaga nyumba mwenyewe akiwa hayupo umekufa siku hizi?
 
[h=1]RAIS KIKWETE NA MAMA SALMA WAHUDHURIA MIAKA 50 YA UHURU WA RWANDA.[/h]
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Paul Kagame wa Rwanda wakikagua gwaride la heshima katika uwanja wa ndege wa Kigali.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mwenyeji wake Rais Paul Kagame wa Rwanda wakipokea haeshima za marais muda mfupi baada ya Rais Kikwete kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kigali kuhudhuria maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Rwanda leo asubuhi.
 
President Jakaya Kikwete, a handsome smiling dictator is a fundamentalist Muslim who has been always embraced by both western and Islamic countries with much economic support! Tanzanians are unfortunate because although they are blessed with a good number of natural resources, their country is still in a vicious cycle of poverty.

While this man is the most professional beggar among the presidents, corruption has become the daily lifestyle in his country. His secret meetings with Iranian officials have led Tanzania to fall under the influence of Moslem radicals. As a consequence, UAMSHO (a terrorist group) which is financially supported by Iran has emerged in the Island of Zanzibar.

The group is aiming at separating Zanzibar from the Union with Tanganyika/mainland and intends to have its own Islamic state. President Kikwete is humbly smiling while the terrorists are free to do whatever they want!
 
Its true to what you have said
 
Honolulu, Inasikitisha sana kusoma maandiko yako. Hivo wewe kwa fikira zako Rais Kikwete ni muislamu mwenye siasa kali?. Hivo waislamu wenye siasa kali huenda makanisani?. Hivo Uamsho inasaidiwa na Irani wakati Irani ni mashia na uamsho ni Sunni?. Hivo hukumsikia balozi wa marekaniTanzania alivozungumza juu ya uamsho?. Wewe katafute Daktari wa kichwa maana maandishi yako yenyewe ni punguani. Hata kufananisha hujui na watu kamna nyinyi hamufai katika jamii kwasabau ya fitina zenu. nakusubiri unijibu maana ninatakwimu zako za kutosha.
 
Last edited by a moderator:

You seems to know what you want to portray our commander in Chief with your Christianity ideology, you should hit your point directly without going around the bush. Abusing your freedom of speech by disrespecting our president is not something you should be doing. The country needs positive and constructive thought. You need anger management treatment. I know you will tell when see you this weekend pale sehemu
 
President Jakaya Kikwete, a handsome smiling dictator is a fundamentalist Muslim who has been always embraced by both western and Islamic countries with much economic support! Tanzanians are unfortunate because although they are blessed with a good number of natural resources, their country is still in a vicious cycle of poverty.

While this man is the most professional beggar among the presidents, corruption has become the daily lifestyle in his country. His secret meetings with Iranian officials have led Tanzania to fall under the influence of Moslem radicals. As a consequence, UAMSHO (a terrorist group) which is financially supported by Iran has emerged in the Island of Zanzibar.

The group is aiming at separating Zanzibar from the Union with Tanganyika/mainland and intends to have its own Islamic state. President Kikwete is humbly smiling while the terrorists are free to do whatever they want!
Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!
 
Honolulu ficha upumbavu wako kama umekosa kitu cha kupost better to shut up Tango wewe
 
JK anajipeleka sana kwa Kagame,ili hali yeye huwa haji kabisa Tanzania anasema hapa ubabaishaji mwingi,huwa anamtuma waziri wake mkuu kila occassion .ila yeye mbio akitaka urafiki mwenzake hana time nae!na Kagame aliwahi nukuliwa angekuwa rais wa Tanzania,ingekuwa nchi ya neema na asali
 
President Jakaya Kikwete, a handsome smiling dictator is a fundamentalist Muslim who has been always embraced by both western and Islamic countries with much economic support! Tanzanians are unfortunate because although they are blessed with a good number of natural resources, their country is still in a vicious cycle of poverty.

While this man is the most professional beggar among the presidents, corruption has become the daily lifestyle in his country. His secret meetings with Iranian officials have led Tanzania to fall under the influence of Moslem radicals. As a consequence, UAMSHO (a terrorist group) which is financially supported by Iran has emerged in the Island of Zanzibar.

The group is aiming at separating Zanzibar from the Union with Tanganyika/mainland and intends to have its own Islamic state. President Kikwete is humbly smiling while the terrorists are free to do whatever they want!

Ukweli unauma kweli teh! Dhaifu!
 
....with mr kikwete shortcomings, still, frm the article, i man smell what once,was described by mwl nyerere as "chuki dhidi ya uislamu (na uzanzibar)"....no avatar free youself frm hate...!
 
president jakaya kikwete, a handsome smiling dictator is a fundamentalist muslim who has been always embraced by both western and islamic countries with much economic support! Tanzanians are unfortunate because although they are blessed with a good number of natural resources, their country is still in a vicious cycle of poverty.

while this man is the most professional beggar among the presidents, corruption has become the daily lifestyle in his country. His secret meetings with iranian officials have led tanzania to fall under the influence of moslem radicals. As a consequence, uamsho (a terrorist group) which is financially supported by iran has emerged in the island of zanzibar.

the group is aiming at separating zanzibar from the union with tanganyika/mainland and intends to have its own islamic state. President kikwete is humbly smiling while the terrorists are free to do whatever they want!

yametimia sasa!
 
dhaifu ameenda kupumzika, weekend nzuri baada ya wiki ya mshike mshike wa madaktari
 
kwenye mambo ya shughuli tu kikwete ndio kwake...
mara MISIBA..MARA SHEREHE..yaani huyu mswahili tabu sana...MBONA SIJWAWAHI kumsikia kagame au kibaki wakija hapa bongo kwa ishu kama hizi??
 
Honolulu, Inasikitisha sana kusoma maandiko yako. Hivo wewe kwa fikira zako Rais Kikwete ni muislamu mwenye siasa kali?. Hivo waislamu wenye siasa kali huenda makanisani?. Hivo Uamsho inasaidiwa na Irani wakati Irani ni mashia na uamsho ni Sunni?. Hivo hukumsikia balozi wa marekaniTanzania alivozungumza juu ya uamsho?. Wewe katafute Daktari wa kichwa maana maandishi yako yenyewe ni punguani. Hata kufananisha hujui na watu kamna nyinyi hamufai katika jamii kwasabau ya fitina zenu. nakusubiri unijibu maana ninatakwimu zako za kutosha.

ukweli unauma, daa jamaa kamchana mkuu wa kaya,.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom