Elections 2010 JK kachoka sana

Mawenzi

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,251
344
Wana JF, ukimwangalia sana JK utagundua kuwa kachoka bin taabani! Analazimisha tabasamu! Anaongea kama vile anaongea na waandishi wa habari, haongei kama anahutubia. Atamaliza kweli kampeni?
 
Huyu inabidi apumzike kwanza hana jipya lolote analowaambia Watanzania zaidi ya porojo zile zile za tangu 2005: nitafanya hiki, nitafanya kile... halafu utekelezaji hakuna.
 
Kusoma sana si kufaulu mtihani, soma kidogo pumzika tengeneza afya.JK ni sawa na wasomaji wanaosoma sana kwa kudhani atafahamu zaidi kumbe ni kuharibu zaidi.Anapiga kampeni bila kupumzika kwa nini asichoke?? na bado

Dr.Slaa tumekuwa naye mtaani kwa wiki nzima akijenga afya na kufanya networkings kama vile message chats, attend media conferences, visits and other sorts of.
Baadae si tumeshuhudia nguvu alo anza nayo it is a mass destruction kind of force.
 
kachoka akili zaidi ya mwili, anayosema leo na mashaka kama atakumbuka baada ya uchaguzi huu. ila kwasababu atakua mkulima wa mananasi kule kwao Ukwereni basi hapana shaka atapa muda wa kutosha wa kubalizi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom