Atafika usihofu. 2006 hakukuwa na umeme wa uhakika na leo hii hali ni mbaya kuliko 2006 lakini Kikwete bado ni raisi wetu.
Nashukuru kwa kuweka hili swali. If all conditions remain the same (ineffective fractured govt, lame duck president, mafisadi wanatafuna nchi, empty coffers, mapinduzi na maandamano ya umma ktk nchi zingine, maandamano na migomo ndani ya nchi), simpi JK miezi 6 ya urais. I stand by this.
mambo madogo huku mtaani hakuna taabu kabisa, ila ukiingia JF utafikri nchi inawaka moto, yes inawaka moto kwenye computer screen na wanaJF walewale ambao 50% wanaishi nje ya nchi poleni
Mpaka sasa3000+ facebook subscribers LIKE the page "Jakaya M Kikwete Must resign"
Sina uhakika kama ndugu yangu mkwere atamaliza miaka 5 kama rais wa TZ.
Ukiachana na ahadi zake za trillion kadhaa,hereunder are the suprises:
1.katiba
2.Dowans
3.umeme bei juu
4.gas bei juu
5.maandamano
machalii wa mererani wana swali lao, je mkwere J.K UTATOBOA?
Jk mi naona angeongea na watanzania kwa uwazi na kunyoosha mambo angeeleweka.Mbona Watanzania ni watu wapole na waelewa ila akiwa kimyaa na kuwafumbia macho mafisadi hakika lawama zitamuandama,na mpaka amalize ngwe hii hatowasahau Watanzania wenye uchungu na nchi yao
uchambuzi mzuri.tupunguze ushabiki tuchambue mambo kisomi.