Jk jifunze tunisia

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
Nimekuwa nafuatilia maoni ya watanzania wa kada mbalimbali. Wengi wanapinga tena kwa hasira malipo ya dowans. Kiongozi mzuri anazingatia maoni ya watu. Natabiri dowans ikilipwa serikali ya JK itaanguka na sidhani kama atabakia madarakani. Najua anasoma jf na watu wa usalama pia. Chondechonde usiamshe hasira za watanzania ambazo hutaweza kuwatuliza. Hata ukiwasingizia chadema haitakunusuru
 
Katika hali kama hii ni vigumu watanzania Kumtunisia JK kwa kuwa tayari amesha wafanya wanajeshi jamaa zake kiaina.
Usijeshangaa ukasikia wanajeshi wote ni makada wa CHAKA CHUA MATOKEO (CCM).
 
kwani tunisia kulikuwa hakuna jeshi? watu wakiamua hakuna jeshi linaloweza kuwazuia maana hata hao wanajeshi wana maisha magumu na inawauma nchi yao kuuzwa
 
Gorden Brown wa UK, Tunisia na kungine kwingi duniani Viongozi wao wa juu walionekana ni kilaza katika uongozi wake, wananchi na wanaharakati mbarimbari kwa kujari maslahi ya nchi yao wakamgoa. Je sisi wa TZ vipi?. Huyu mkwere si ameshaonesha ukilaza wake.
 
Hivi mnajua kinachoendelea Tunis au basi mmesikia tokea juzi ndio mnashikilia hapo hapo ,Nguvu ya umma upande wa Raisi imeweka ngumu,nyie bado mmedandia garimoshi kwa mbele.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom