JK Interview, Kigugumizi

Tatizo siyo lugha tatizo ni kwenda kwenye interview mtu haujajiandaa. Inawezekana majibu aliyo toa hapo ni spontaneous na wala hakujiandaa ata jibu vp maswali.
hapana nakubaliana na wewe kwa 100% kikwete hasomi, that means he doesnt know what is happening in the world, anajenga hoja kwa kutumia information anazozipata toka kwa watetaji wake tu.
His English is good, mind you he is just a graduate and then worked with ccm whose main language is Swahili.
 
Tatizo siyo lugha tatizo ni kwenda kwenye interview mtu haujajiandaa. Inawezekana majibu aliyo toa hapo ni spontaneous na wala hakujiandaa ata jibu vp maswali.
hapa nakubaliana na wewe kwa 100% kikwete hasomi, that means he doesnt know what is happening in the world, anajenga hoja kwa kutumia information anazozipata toka kwa watetaji wake tu.
His English is good, mind you he is just a graduate and then worked with ccm whose main language is Swahili.
 
Yah lugha sioni kama issue sana japo ni aibu kwa kiongozi wa nchi. Nafikiri karidhika na hali yake ukiangalia hata mkewe Salma nia aibu hata asimpleke angalau english course ajuae hata kuomba maji.

Ukienda kwenye maudhui ya majibu yake ndo utachoka zaidi. Kilichoniacha hoi ni pale alipoulizwa nini legacy yake anapojibu ataitoa Tanzania hapa na kuipeleka palee! Duh haya baba msanii
 
Magezi wewe ndio mwenye matatizo ya kujipendekeza kwa Mkulu. Viongozi wetu akiwemo Jakaya ndio malimbukeni kwani wanadhani wakihutubia au kujibu maswali kwa lugha zao wataonenekna hawajasoma, unfortunately wakizungumza hiyo lugha ya malkia ndio wanaonyesha ukihiyo wao.Viongozi wetu tatizo lao ni lack of confidence mbona wenzao wanaume wa shoka kama Chavez na Gadaffi wanatumia lugha za kwao wanapohutubia!!

Well answered, Mkulu. Kuna watu wengine humu JF kazi yao kubwabwaja tu na kulamba viatu vya wakubwa. Hawawezi hata kufikiri kabisa!!!!!! Aibu tupu!!!!
 
Tatizo siyo lugha tatizo ni kwenda kwenye interview mtu haujajiandaa. Inawezekana majibu aliyo toa hapo ni spontaneous na wala hakujiandaa ata jibu vp maswali.

Ni kweli Mkuu....hebu check swali lilivyoulizwa anzia dakika ya 1:27......halafu sikiliza jibu la Rais wetu.............

otherwise sehemu nyingine kajitahidi
 
Back
Top Bottom