JK in australia pictures

Hana lolote huyu Fisadi Kikwete, ameenda kuomba na kuuza nchi yetu kwa wanaomuhonga suti. Matatizo tulioyonao hapa nchi ni tosha bado unaenda kuwaita waje watukombee ardhi yetu na Rasilimali zetu

SHAME ON YOU FISADI KIKWETE
 
Naona picha ya JK ni moja tu za 1st lady ndio nyingi, labda tuseme Salma in Australia?
 
Hivi hawa Watanzania wanaoishigi nje kipindi cha uchaguzi huwa wanapigaga kura ya kuchagua raisi/ubunge na madiwani?
 
Ukichunguza kwa makini utagundua wengi wa hawa 'Watanzania waishio ........' ni wafanyakazi wa ubalozi na ujumbe uliofuatana na 'cocunut head'.
 
Ukichunguza kwa makini utagundua wengi wa hawa 'Watanzania waishio ........' ni wafanyakazi wa ubalozi na ujumbe uliofuatana na 'cocunut head'.

Chunga lugha yako.
OTIS.
 
hivi hawa watanzania wanaoishigi nje kipindi cha uchaguzi huwa wanapigaga kura ya kuchagua raisi/ubunge na madiwani?

mfumo wa kufanikisha hili haupo. Labda tukipata katiba mpya, iunde tume mpaya huru wote watachagua tu
 
Australia hakuna watanzania wengi, nimekaa huko na ninajua. Wengi walio hapo wapo kwenye huo Msafara wa Kifisadi. Jamani nchi hii sijui tunaelekea wapi kodi zetu zinatafunwa bila ya huruma, wenyewe hatuna Umeme, Maji wala Madawa Hospitalini. Goooooooooooooood help us
 
kwa hiyo wamehamisha kituo cha kufanyia vikao tu sio?
 
Australia hakuna watanzania wengi, nimekaa huko na ninajua. Wengi walio hapo wapo kwenye huo Msafara wa Kifisadi. Jamani nchi hii sijui tunaelekea wapi kodi zetu zinatafunwa bila ya huruma, wenyewe hatuna Umeme, Maji wala Madawa Hospitalini. Goooooooooooooood help us

Mkuu Oz is not that small either!
 
Wabongo bana, huyo rais wa watanzania waishio Perth au Australia? Huku Taz hatujamuona ati!
 
Wataka aje akutembelee kwako?
OTIS.

Nadhani hujaielewa kabisa comment yangu, Australia is so big. Tanzania nane zinaingia na kutosha kabisa na eneo kubaki, western Europe yote ukiingiza ndani ya Western Australia bado kuna eneo litabaki. Kuna organizations hapa za mataifa mbali mbali zingine as old as 100 years lakini hutasikia wana raisi wa nchi nzima, it's done state by state! Tena at least kwa Victoria na NSW wings unaweza kusema ni nchi nzima lakini si Perth kwenye jumla ya watu laki tano.
 
all in all 2jifunze kwa makosa coz this guy stil anadhani ni waziri wa mambo ya nje. 4sure tz ha2na rais 2na waziri wawili wa mambo ya nje
 
Back
Top Bottom