Jk. Ili uchumi wetu uweze kukua mpe wizara ya fedha dr.festus .b.limbu

bemg

JF-Expert Member
Apr 25, 2010
2,799
642
Napenda kupendekeza katika Baraza jipya la Mawaziri Jk usiache kumpa Dr.Festus Limbu wizara ya Fedha ili uchumi wetu uwe stable na shilingi yetu iwe na thamani kama kipindi cha Mkapa.Ni mtu ambaye ni kwenye uchumi makini naalionyesha anaweza kwenye wizara ile kipindi cha Rais Mkapa akiwa Naibu Waziri wa fedha.Uzuri wake ni kwamba siyo fisadi, amekulia malezi ya mafundisho ya neno la Mungu na hapendi kujilimbikizia mali yeye binafsi au ndugu zake au rafiki zake kama tunavyoona wengine wanapopewa dhamana ya taifa wanakula fastafasta.Anapenda kusimamia ukweli na kile kinachopatikana kifanye kazi stahili kwa watu wote bila kujali itikadi.

Ni jambo nzuri mawaziri na manaibu wake wakawa na hofu ya Mungu ili waone huruma ya maisha magumu kwa watanzania na waweze kusimamia kwa uwazi na ukweli mali za umma.Waache tamaa ya utajiri maana mwisho wake ni kujiangamiza roho zao.

Nawasilisha
 
sijatumwa mimi ni m4C .hakuna mwingine anaweza kufaa wizara hiyo zaidi ya Dr Limbu.Hana roho ya ufisadi yule
 
apewe kwa majaribiooo au?

Siyo kwa majaribio mkuu .Wamajaribio alikuwa Mkulo na tumeona maisha yanavyozidi kupaa huku walala hoi wakilipa kila kitu kodi
 
nani kakutuma yeye nini?

humu wengi mmeanza tabia za kuleta majina ili mutuibie zaidi, mbona wakati wa Mkapa anaiba hakumkataza lazima waliiba wote.

Mwacheni afanye shughuli yeye
 
Siyo kwa majaribio mkuu .Wamajaribio alikuwa Mkulo na tumeona maisha yanavyozidi kupaa huku walala hoi wakilipa kila kitu kodi

wakati anateuliwa mkulo, limbu hakuwepo bungeni?
Nakumbuka wakati fulani alishawahi kupewa wizara kama si unaibu, tuambie alifanya nini!
 
Haumfahamu Limbu wewe. Hivi umesahau ubadhirifu uliofanyika kwenye bodi ya pamba iliyo chini yake?
 
Haumfahamu Limbu wewe. Hivi umesahau ubadhirifu uliofanyika kwenye bodi ya pamba iliyo chini yake?

Yeye hakutafuna waliotafuna niwengine.Ni sawa na Rais Jk chini mawaziri na watendaji wake na watoto wake ndiyo wanaotafuna mali za umma.Dr Limbu hayuko kama wengine wakina mkulo,Maige, few to mention
 
Haya Mawazo yenu wakati mwingine ndiyo yanamislead President....wakati Nyerere anamchagua Mkapa kuwa mgombea wa kiti cha Uraisi kupitia CCM 95 Alikuwa na sifa kuliko hizo za Limbu.Matokeo tumeyaona!Inshort we need to build systems and people. Kinachotusumbua ni Political Economy! Siasa ndiyo inaongoza uchumi!
 
Kwanini apewe Limbu au umetumwa? Mie nashauri apewe mtu anayefaa na kidogo mtu ninayeona anafaa bado hajazaliwa. Pengine kidogo Prof Lipumba anaweza kujitahidi ila we need someone competent.
 
Napenda kupendekeza katika Baraza jipya la Mawaziri Jk usiache kumpa Dr.Festus Limbu wizara ya Fedha ili uchumi wetu uwe stable na shilingi yetu iwe na thamani kama kipindi cha Mkapa.Ni mtu ambaye ni kwenye uchumi makini naalionyesha anaweza kwenye wizara ile kipindi cha Rais Mkapa akiwa Naibu Waziri wa fedha.Uzuri wake ni kwamba siyo fisadi, amekulia malezi ya mafundisho ya neno la Mungu na hapendi kujilimbikizia mali yeye binafsi au ndugu zake au rafiki zake kama tunavyoona wengine wanapopewa dhamana ya taifa wanakula fastafasta.Anapenda kusimamia ukweli na kile kinachopatikana kifanye kazi stahili kwa watu wote bila kujali itikadi.

Ni jambo nzuri mawaziri na manaibu wake wakawa na hofu ya Mungu ili waone huruma ya maisha magumu kwa watanzania na waweze kusimamia kwa uwazi na ukweli mali za umma.Waache tamaa ya utajiri maana mwisho wake ni kujiangamiza roho zao.

Nawasilisha
Wewe utakuwa ni limbu na kama sivyo basi ni mke/mtoto wake au ndugu yake wa karibu. Kwa kifupi limbu hafai. Eme-expire. Wakati wa mkapa aliwahi kuwa naibu waziri wa maji, fedha n.k. Hakuna chochote alichofanya kinachoweza kukumbukwa zaidi ya kujiremba na kujipodoa yeye na familia yake. Limbu hafai kuwa hata mwenyekiti wa serikali ya kijiji.

Akiteuliwa limbu kwa nafasi yoyote ile nitahama nchi.
 
Back
Top Bottom