JK huyooo anaenda zake kwao kula mwaka mpya

U tz acha fujo rais yenu nakwenda pumzika chalinze. Mi iko kumbuka wkt iko india rais yetu nakuwa na safara fupi sana , kawaida nakuwa pikipiki na gari ya kawaida sana mana rais yetu napenda walipa kodi yake yote. Mi naogopa ss tz kila ikikumbuka issue ya pale hamiaji nakosa amani nahisi tafukuzwa tanzania siku moja ila tapambana mana iko vutu muzuri hapa. Indian society nataka kuweka kikao ili JK nakuwa rais ya maisha mana tawala yake iko barabara

Usiogope mkuu, hapa amani mpaka kesho...! Teh!
 
Huyu ni rais anaongoza zaidi ya watu milioni 40 kwa nn asipewe heshima yake? Huyu ni kiongozi wa nchi na cyo chama kama walivyowengine wanaofukuzana ovyo. Lazima awe na ulinzi wa kutosha.
 
Huyu ni rais anaongoza zaidi ya watu milioni 40 kwa nn asipewe heshima yake? Huyu ni kiongozi wa nchi na cyo chama kama walivyowengine wanaofukuzana ovyo. Lazima awe na ulinzi wa kutosha.

ANAMUONGOZA NANI VILE???
KESHAKUFANYIA NINI
CHA MAANA TANGU KAKALIA KITI CHA "URAHISI"nonesense!!!!!
 
Kinachonishanagaza ni kupita saa moja hii sio atari kwa rais wetu huyu
Huu msafara una v8 kumi na 12
Nissan patrol 4
Kuna benz 2
Kuna ambulance
Kuna gari za polisi kama 4
Kuna gx kama 5
Sasa nasikia nchi imefilisika sasa huu msafara wote kwenda tu kwenu kula mwaka mpya una tija o unamaliza ela zetu za kodi

Tunakoelekea huko mtasema kwamba atembee na Bajaj. Kwani nini kimeongezeka katika msafara wake? Ulitaka aondoke saa 8 wakati bado ana majukumu ofisini? Grow up man!
 
Huyu ni rais anaongoza zaidi ya watu milioni 40 kwa nn asipewe heshima yake? Huyu ni kiongozi wa nchi na cyo chama kama walivyowengine wanaofukuzana ovyo. Lazima awe na ulinzi wa kutosha.
Mtu anayeongoza watu Mil 40 msafara wake mmoja wa km 120 (Dar-Chalinze km 109 na Chalinze -Msoga Km 11) unakamua mil kama 20 kwa siku 2.
Katibu kata wako anaeongoza watu kama 10000 atatumia sh ngap kwa msafara wa km hizo hizo?
 
Kinachonishanagaza ni kupita saa moja hii sio atari kwa rais wetu huyu
Huu msafara una v8 kumi na 12
Nissan patrol 4
Kuna benz 2
Kuna ambulance
Kuna gari za polisi kama 4
Kuna gx kama 5
Sasa nasikia nchi imefilisika sasa huu msafara wote kwenda tu kwenu kula mwaka mpya una tija o unamaliza ela zetu za kodi
Katika nchi masikini kama Tanzania ambayo Rais kila siku anasifia nchi ipo salama na mipaka ipo salama na hakuna tishio la adui kutoka nje na bado Tanzania ni nchi ya kupigiwa mfano kwa suala la amani, msafara wa jinsi hiyo ni upuuzi unaoendeleza hasira za wanachi kwa serikali yao
 
Hivi huyu si alikuwa kwenye mapumziko serengeti juzi juiz hapa? sasa huko anakwenda kufanya nini tena wakati ameshapumzika tayari!
 
By Frora Msoffe
na msafara wooote
huo hapo kuna
wese za ma v8
pa diiem ya hao wasindikizaji wote
na blabla usishabikie
upupu tz ni nji maskini
sana kwa matumizi hayo
hata hizo v8 zisingetakiwa
kutumiwa kwa nji km tz
hapa labda pijopunda
ndo iwe inatumika

Ulitaka aendeshe baiskeli kwenda kwao.pijo punda tumia wewe shamabani kwenu
 
Kinachonishanagaza ni kupita saa moja hii sio atari kwa rais wetu huyu
Huu msafara una v8 kumi na 12
Nissan patrol 4
Kuna benz 2
Kuna ambulance
Kuna gari za polisi kama 4
Kuna gx kama 5
Sasa nasikia nchi imefilisika sasa huu msafara wote kwenda tu kwenu kula mwaka mpya una tija o unamaliza ela zetu za kodi

Sawa anahitaji ulinzi, ila hapo ni kuponda tu hela za waananchi, tena bila huruma, kwani namuogopa nani? Kama kweli wewe raisi mzuri na unafanya kazi yako, nani atataka kukuua?
Haya matumizi ya anasa ndio yanayozidi kuididimiza nchi yetu, ila wahusika watabisha na kuendelea kula tu hela za kodi!
 
Back
Top Bottom