JK huyooo anaenda zake kwao kula mwaka mpya

FredKavishe

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,090
318
Kinachonishanagaza ni kupita saa moja hii sio atari kwa rais wetu huyu
Huu msafara una v8 kumi na 12
Nissan patrol 4
Kuna benz 2
Kuna ambulance
Kuna gari za polisi kama 4
Kuna gx kama 5
Sasa nasikia nchi imefilisika sasa huu msafara wote kwenda tu kwenu kula mwaka mpya una tija o unamaliza ela zetu za kodi
 
Kiongozi wa nchi ni lazima apewe haki yake inayostahili
 
magari yote hayo ya nini utadhani anaenda kwenye miaka 50 ya uhuru ??ilitakiwa hapo iwepo gari yake ,ambulance na ya police kwisha habari ,,,:A S-coffee:
 
labda akirudi atakuja na badiliko jipya ikiwemo kuwafukuza mafisadi na kuinua uchumi
 
Kinachonishanagaza ni kupita saa moja hii sio atari kwa rais wetu huyu
Huu msafara una v8 kumi na 12
Nissan patrol 4
Kuna benz 2
Kuna ambulance
Kuna gari za polisi kama 4
Kuna gx kama 5
Sasa nasikia nchi imefilisika sasa huu msafara wote kwenda tu kwenu kula mwaka mpya una tija o unamaliza ela zetu za kodi

Halafu wanasema Tanzania nchi ya amani, Amani wakati Rais wa NEC anasindikizwa utafikiri kuna mtu anata kumuumiza Rais wa NEC. Hata Obama wenyewe hana msafara kama huo. Inaeleke huyu Fisadi hajiamini masiha yake
 
Kale Mwaka mpya mkuu mbona kuna wengi wameenda makwao wa vyama vya siasa na wametumia hela za vyama kwenda huko(indirectly) sasa wao wakiingia ikulu si itakuwa ndege zinafululiza kwenda kula mwaka mpya
 
Sasa nyie kila mkicoment hapa JF ni chuki tu dhidi ya Mweshimiwa Raisi kwanini walinzi wake wajiamini? Full security.
 
U tz acha fujo rais yenu nakwenda pumzika chalinze. Mi iko kumbuka wkt iko india rais yetu nakuwa na safara fupi sana , kawaida nakuwa pikipiki na gari ya kawaida sana mana rais yetu napenda walipa kodi yake yote. Mi naogopa ss tz kila ikikumbuka issue ya pale hamiaji nakosa amani nahisi tafukuzwa tanzania siku moja ila tapambana mana iko vutu muzuri hapa. Indian society nataka kuweka kikao ili JK nakuwa rais ya maisha mana tawala yake iko barabara
 
Kama una nauli ya kwenda kwenu mkope jirani yako na wewe ukale mwaka kijijini kwenu,
kama kwenu utakiwi wewe uchune tuu hapa mjini
jk mtumishi wa serikali kama wengine waliojumuika na familia zao uko makwao ana haki ya kwenda kwao
 
kama una nauli ya kwenda kwenu mkope jirani yako na wewe ukale mwaka kijijini kwenu,
kama kwenu utakiwi wewe uchune tuu hapa mjini
jk mtumishi wa serikali kama wengine waliojumuika na familia zao uko makwao ana haki ya kwenda kwao

na msafara wooote
huo hapo kuna
wese za ma v8
pa diiem ya hao wasindikizaji wote
na blabla usishabikie
upupu tz ni nji maskini
sana kwa matumizi hayo
hata hizo v8 zisingetakiwa
kutumiwa kwa nji km tz
hapa labda pijopunda
ndo iwe inatumika
 
Ma V8 mengine yana mabegi tu yamo kwenye msafara ni matumizi mabaya sana sana ya kodi zetu......na ukute jioni anarudi tena mbioo sas amepumzika nini dak 20 hizo??au lazima akalale makaburini ndio mila??kweli rahisi tunae
 
Back
Top Bottom