JK, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 3) (178) (1,2,3,4,5....)

Babkey

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
4,834
3,655
...Yahaya Hussein anakiita chama kuzimu, usipobadili mwenendo na kumwomba Mungu kwa kutenda yanayompendeza hakika chama kitafariki.

...maji mafupi ameweka "chuma ulete" kwa mifuko ya watu ndio maana wananchi wanalalamika maisha magumu.

....mwanao hakufeli ila walikujaribu na kutaka kuaibisha familia yako.

hayo tu kwa sasa.
 
Back
Top Bottom