Cameroun pumbafu tu yule muuaji anataka kumuua Ghadaf haya mambwa ya ulaya yakae mbali na Afrika hatuyahitaji...ukizoea kusaidiwasaidiwa mwishowe hata mkeo ataacha kukuheshimu ataheshimu anaesaidia mji wako!!!!
waafrika wana iq ndogo sanasio hivyo tu anaweza kukuta hana serikali, maana watu wakibanwa wanajiuzuru kazi anayo sio ndogo
Mkuu Mo-Town kila mtu anayejua kufikiri jambo hili linamuumiza sana. Hivi hakuaona David Cameroon amehairisha safari ya kuja Africa kwa sababu ya kashfa ya News of the World paper la mtu binafsi? Hivi jambo kubwa kama hili la waTZ kulala gizani yeye JK ameliona dogo sana na matokeo yake kumwingiza JAIRO mkenge? Nafikiri habari keshazipata na sijui kama atalala usingizi. Inaniuma na kwa bahati mbaya sina la kufanya zaidi ya kuomba waTZ waamke wamhukumu wenyewe.
Maeneo gani ambayo hakutakua na umeme siku 3 mfululizo? Au umekurupuka tu?Waziri mkuu wa UK ameamua kukatisha ziara yake ya South Africa kwa sababu ya kashfa ya Metropolitan Police na News International na pia uhusiano wake na akina Rupert Murdoch.JK ameondoka huku nyuma umeme hatuna na sasa hivi inasemekana kuwa maeneo mengine umeme huwa hakuna mpaka siku 3 mfululizo.Lakini huku nyuma cabinet minister wake yuko under fire na bila kusahau kashfa ya rushwa toka kwa BILIONEA na katibu mkuu wa wizara ya nishati bwana JairoSurely if Cameron would return kutokana na pressing matters, why not JK? Mkiniuliza akirudi aje kufanya nini...well how about firing the entire cabinet for a start na akapewa emergency powers ili tupate huo umeme?
..........................Nahisi tujipange tu kwa ziara za milima ya uluguru,misitu ya kilimanjaro na mingineyo....you know what i mean!
wewe ni zao la mafisadi wanaokula hii nchi ndo maana unashangaa umeme kukatika siku tatu, pita hapa ubungo nhc, uulize umeme huwa unakatika kwa muda gani utaambiwaMaeneo gani ambayo hakutakua na umeme siku 3 mfululizo? Au umekurupuka tu?
we up nchi gan?au ndo mnakaa na wakubwa,? nway ngoja nikupe maeneo ambayo umeme haupo zaidi ya siku 5 mfululizo..ubungo ind area,kijichi,mbagala,kkoo,kimara etc.wengine watakua xperience yaoMaeneo gani ambayo hakutakua na umeme siku 3 mfululizo? Au umekurupuka tu?
Do you think these doomy frantic politicians cares?
Kwa mfano hata katibu mkuu wa wizara ya Nishati na madini na Waziri walistahili kujiuzulu immediately kutokana na hii kashfa.mbona hatuna nidhamu za Japan na China? Sometimes nahisi kukosa uvumilivu wa the so called freaking term of democracy.Nahisi tujipange tu kwa ziara za milima ya uluguru,misitu ya kilimanjaro na mingineyo....you know what i mean!
Duh hili nalo neno,jamani aibu Rais wetu anakwenda katika bibirthday pamoja na crises zote tulizonazo,Mungu wa mbinguni turehemu inatosha sasa!Jamani Rais yuko hapa pretoria na mandela kwenye Bday yake,anachekacheka kama ngedere. Hilo Giza lenu mtajiju ,mmeamua wenyewe kuigeuza Tz kuzimu ,na anasema mtachonga sana imekula kwenu yeye ndio mbayuwayu na angani ni makao yake!endeleeni kulalamika hata Mungu hata wasikia, mlimchagua wenyewe mkimwita chaguo la Mungu.