Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,581
- 18,124
Ben kwanini basi iwe ni miaka 35? Hiyo siyo dharau kwa walio chini ya miaka hiyo? Kwanini tusiondoe tu minimum age requirement?
Mkuu,
Katiba kulazimisha umri wa miaka 40 and above uwe ndiyo mojawapo ya qualifications za mgombea urais ni tatizo.Ni vigezo gani vilitumika?Mbona nchi nyingine wanaongozwa na viongozi ambao ni below 40 tena kwa mafanikio tu?Je,watanzania kwa hisia na fikra achilia mbali utamaduni ni tofauti na watu wa mataifa mengine?
Mbona Comrade Muammar Ghaddafi aliongoza libya akiwa na miaka 27 tu na akaongoza kwa mafanikio?( I guess hapa hii ni debate nyingine).Mbona mwalimu J.K Nyerere aliongoza nchi akiwa below 40?Mbona Comrade Patrice Lumumba alikuwa below 40?
Matatizo ya Africa naona yanachagizwa na mentality zisizo na vision au mission.Suala la succession plan kwa Afrika ni lugha ngumu iwe kwenye Business,corporate world ama kwenye Leadership.Kwa mfano katiba kama hii ya Tanzania,imejiandaa kuzuia succession plan na ku-adopt mawazo yale yale ya zamani kwamba unless una grey hair then you are not wise!