JK: Hata wamalawi pia walikuwa wapole kama kondoo....

Usilinganishe hali ya maisha ya Malawi na hapa kwetu. Takwimu zinaonyesha kuwa watu wengi kule wanaishi chini ya dola moja kwa siku, hospitali chache, shule hazina vitabu na kuna chuo kikuu kimoja tu. Tofauti na huku kwetu ambapo hali ya maisha ni nzuri. Kigezo kimoja ni ujenzi wa chuo kikuu cha Dodoma ambacho ni mfano kwa ukanda wote wa Afrika Mashariki. Kwa hiyo maandamano hapa ni ndoto za mchana.

Really,.....
 
Hamna kitu hapo naona upupu tu............unaona swala la kikabili kikwete analo????????? au unataka kufikisha ujumbe kunako husika
 
Usilinganishe hali ya maisha ya Malawi na hapa kwetu. Takwimu zinaonyesha kuwa watu wengi kule wanaishi chini ya dola moja kwa siku, hospitali chache, shule hazina vitabu na kuna chuo kikuu kimoja tu. Tofauti na huku kwetu ambapo hali ya maisha ni nzuri. Kigezo kimoja ni ujenzi wa chuo kikuu cha Dodoma ambacho ni mfano kwa ukanda wote wa Afrika Mashariki. Kwa hiyo maandamano hapa ni ndoto za mchana.
Nani kakudanganya wewe hapa bongo maisha mazuri? ushapita vijiji vyote hapa bongo wakakuambia maisha yao ni mazuri? ushafika lingusenguse? kumlogolo? igangidungu? matepwende? muzye? twatwatwa? hata kujua km kuna vijiji km hivi hujui. so usifikiri au kuona au kusikia porojo za wabunge bungeni ule ni uongo mtupu. tukisafiri tunaona vijiji vya barabarani watu walivyo chokest! halafu wewe unakuja na nadharia eti TZ maisha mazuri over my foot!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom