JK hana serikali za mitaa ila ni mtandao wa wezi

SOKON 1

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
1,134
331
Mh Mrema ambaye ni mbunge wa Vunjo amesema ktk serikali ya JK watu waliomo ktk serikali za mitaa ni wezi kwa kuiba fedha za maendeleo ya jamii bila ata huruma wanazila.
MY TAKE;
Kama hali ndo ivyo je tutafika?
 
Mrema yuko sahihi, kwenye halmashauri kunapelekwa pesa nyingi za maendeleo lakini zinatumbuliwa haswa.

Mayor
Baraza la madiwani
Mkurugezi
Wakuu wa idara

Hiyo network iki team kwisha habari
 
Mrema yuko sahihi, kwenye halmashauri kunapelekwa pesa nyingi za maendeleo lakini zinatumbuliwa haswa.

Mayor
Baraza la madiwani
Mkurugezi
Wakuu wa idara

Hiyo network iki team kwisha habari

Ndio maana ccm inang'ang'ania umeya kwani wanajua huko ndipo kwenye pesa na kama haya yana ukweli ndani yake taifa limekosa mwelekeo kwani uku juu utasikia Dowans,IPTL, nk uku chini ni miradi isiokuwa na tija ilimradi wakamilishe mahesabu
 
Mh Mrema ambaye ni mbunge wa Vunjo amesema ktk serikali ya JK watu waliomo ktk serikali za mitaa ni wezi kwa kuiba fedha za maendeleo ya jamii bila ata huruma wanazila.
MY TAKE;
Kama hali ndo ivyo je tutafika?

In this country everyone is complaining - those who we thought would be the leaders to lead us against this war (corruption) are also complaining; corrupt people are also complaining. Complaints, complaints, complaints, .... No action.

Natumaini maneno ya Mrema, kama ilivyo ada, yataishia hivyo hivyo; hela zitaendelea kutafunwa kwa kwenda mbele. Hongera Mh. Dr. Mrema (PhD) kwa "kugundua" hilo japo the "THE OBVIOUS NEED NO PROOF".
 
Muulize Mh.Tundu Lissu alishawahi kutoa data la wilaya ya singida............jamaa wanatafuna hela kama mchwa..........
Ufisadi kila sehemu na hakuna wa kumwajibisha mwenzake kwa sababu wote wamekula.
 
Kwa sababu wote wanakula, basi wataendelea kuteteana! Next move ni wale wanaohisi wanaliwa kukataa hali hiyo kwa vitendo.
 
With all things going on, katika hili nakubaliana na Mrema. Halmashauri nyingi ni wezi. Wanaiba hela za umma. Zaidi, vijiji wanaripoti kwa nani fedha wanazopokea? It sucks.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom