JK hajui wajibu wa mawaziri ndo maana anasema fitna zimewaponza

Moto bado ni mkali JK akiudharau utamuakia yeye maana kuna ushahidi wa kutosha kuwa mawaziri waliotuhumiwa na hata ambao hajatuhumiwa ni wezi kweli kweli, tumeona nyumba walizouziwa za Hoysterbay na masaki, wameishajenga majumba ya kutisha,wengine ndo akina Maige wananunua majumba na ma-apartments, huyo Mkulo anajenda ghorafa 8 sharifu shamab Ilala, haya wengine wamesingiziwa na hao wezi wa wazi mbana hasemi hatua za kuchukua?. Lowasa amesema JK ni gamba kuliko yeye na wenzake.

eh kumbe kuna na hilo la ghorofa 8, maana nimesikia pia kua kanunua nyumba 3, kila moja yenye thamani ya si chini ya dola laki 4 so kwa ujumla hizo nyumba ni dola million 1 laki 2 minimum... no wonder walikua wanasema hazina haina hela :thinking:
 
JK NI MSWAHILI SO MAWAZO YAKE PIA NI YAKe KI USWAHILI SWAHILI

Wacha ujinga wewe mbara uliyekuja kujifunza kuvaa nguo huku uswahilini. Ulikuwa unavaa mgolole hata hauna chupi ndani.

Sasa ndiyo unajiona umeendelea masikini weee.
 
Back
Top Bottom