JK hajui wajibu wa mawaziri ndo maana anasema fitna zimewaponza

magistergtz

JF-Expert Member
Dec 17, 2011
282
56
Kauli ya jk kuwa mawazili alowatimua wanawajibika kwa makosa yasio yao, bali ya watendaji walio chini yao inaudhi. Zaidi ya kuudhi inatia wasiwasi kama jk anaelewa wajibu wa mawaziri wake.

Wajibu wa mawaziri ni kuongoza na kusimamia watendaji walio chini yao. ,Huu ndo wajibu wa kiongozi yeyote ile. Kwa kifupi kazi ya kiongozi ni. kuhakikisha walio chini yake wanafanya kazi kwa mujibu wa taratibu zalizopo. Watendaji wakiharibu na kiongozi hachukui hatua yoyote, ina maana huyo kiongozi kashindwa majukumu yake na anastahili kuwajibishwa sawa na mtendaji aloharibu.
Hivo basi kauli ya jk kuwa mawaziri wameponzwa na fitna na madudu ya watendaji yenye lengo la kuwasafisha mawaziri ni potoshi. Mawaziri wamekosea na wameshindwa kutimiza wajibu waloapa kuutimiza. Walistahili kufukuzwa.
Je, kama hawana makosa ni umbea na fitna tu iweje awafukuze??????

Mawaziri 6 walotimuliwa walistahili na inabidi washtakiwe kwa kutotimiza wajibu. Kauli za kuwasafisha zinaashiria jk hakuwa na utashi bali alichukua hatua kwa shinikizo tu.
 
Tatizo katiba yetu ya sasa inampa Rais madaraka makubwa sana ambayo inabidi yapunguzwe kwenye katiba mpya. Rais anateua waziri, naibu waziri na katibu mkuu..haya masharika ya umma utakuta mwenyekiti wa bodi anateuliwa na Rais. Sasa kukiwa kuna utendaji mbaya wa kazi waziri akagundua kua bodi inahusika waziri hawezi kumfukuza mwenyekiti wa bodi kwa sababu alichaguliwa na rais, atakachofanya ni kumshauri rais..kama mnavyojua Rais wetu hashauriki. Mambo mangapi ameshauriwa na waziri mkuu au mawaziri wake kuhusu utendaji mbovu wa baadhi ya sekta lakini hakuna alichofanya... So the ball rests on his court. Ndo maana watu wengi wanaona rais ameshindwa kazi kwa sababu kuna mambo mengi anashauriwa angekua anawahi kuyatafutia solutions hii nchi isingekua hapa ilipo. Pesa ambazo zimeibiwa nyingi ungekuta zimeokolewa so yes the president has to be held accountable and to be honest He's got to go. Ameshindwa kuongoza na kuiendesha hii nchi.
 
Maana yake ni kwamba amefanya mabadiliko katika baraza lake kwa kuziamini fitna?
.
 
Moto bado ni mkali JK akiudharau utamuakia yeye maana kuna ushahidi wa kutosha kuwa mawaziri waliotuhumiwa na hata ambao hajatuhumiwa ni wezi kweli kweli, tumeona nyumba walizouziwa za Hoysterbay na masaki, wameishajenga majumba ya kutisha,wengine ndo akina Maige wananunua majumba na ma-apartments, huyo Mkulo anajenda ghorafa 8 sharifu shamab Ilala, haya wengine wamesingiziwa na hao wezi wa wazi mbana hasemi hatua za kuchukua?. Lowasa amesema JK ni gamba kuliko yeye na wenzake.
 
The problem of JK is cowardness. he has no guts to deal with anybody in this world.
 
Tatizo katiba yetu ya sasa inampa Rais madaraka makubwa sana ambayo inabidi yapunguzwe kwenye katiba mpya. Rais anateua waziri, naibu waziri na katibu mkuu..haya masharika ya umma utakuta mwenyekiti wa bodi anateuliwa na Rais. Sasa kukiwa kuna utendaji mbaya wa kazi waziri akagundua kua bodi inahusika waziri hawezi kumfukuza mwenyekiti wa bodi kwa sababu alichaguliwa na rais, atakachofanya ni kumshauri rais..kama mnavyojua Rais wetu hashauriki. Mambo mangapi ameshauriwa na waziri mkuu au mawaziri wake kuhusu utendaji mbovu wa baadhi ya sekta lakini hakuna alichofanya... So the ball rests on his court. Ndo maana watu wengi wanaona rais ameshindwa kazi kwa sababu kuna mambo mengi anashauriwa angekua anawahi kuyatafutia solutions hii nchi isingekua hapa ilipo. Pesa ambazo zimeibiwa nyingi ungekuta zimeokolewa so yes the president has to be held accountable and to be honest He's got to go. Ameshindwa kuongoza na kuiendesha hii nchi.
Ni kweli hilo,ila sasa mawaziri waliobakia bado kuna harufu ya UFISADI,KUJUANA na hamna UWAJIBIKAJI. Je tatizo lipo kwa mteule au wateuliwa?
 
hhahahah JK ni mwana mazingaombwe mzuri sana ... na hasiti kuonyesha vimbweka
 
Moto bado ni mkali JK akiudharau utamuakia yeye maana kuna ushahidi wa kutosha kuwa mawaziri waliotuhumiwa na hata ambao hajatuhumiwa ni wezi kweli kweli, tumeona nyumba walizouziwa za Hoysterbay na masaki, wameishajenga majumba ya kutisha,wengine ndo akina Maige wananunua majumba na ma-apartments, huyo Mkulo anajenda ghorafa 8 sharifu shamab Ilala, haya wengine wamesingiziwa na hao wezi wa wazi mbana hasemi hatua za kuchukua?. Lowasa amesema JK ni gamba kuliko yeye na wenzake.

Tutarudi kulekule ambao wezi wanatajwa hela walizoiba zinaoneshwa, hawafanywi lolote na tutaendelea kulalamika. Hii ndio Tanzania. Wezi wote wakubwa wanajulikana, nothing will happen to them. Utaniambia, tena hata ubunge wataendelea nao. Hii ndio Tanzania, unless the whole system is overhauled tutaendelea kulalamika na lolote lilsitokee
 
Tatizo katiba yetu ya sasa inampa Rais madaraka makubwa sana ambayo inabidi yapunguzwe kwenye katiba mpya. Rais anateua waziri, naibu waziri na katibu mkuu..haya masharika ya umma utakuta mwenyekiti wa bodi anateuliwa na Rais. Sasa kukiwa kuna utendaji mbaya wa kazi waziri akagundua kua bodi inahusika waziri hawezi kumfukuza mwenyekiti wa bodi kwa sababu alichaguliwa na rais, atakachofanya ni kumshauri rais..kama mnavyojua Rais wetu hashauriki. Mambo mangapi ameshauriwa na waziri mkuu au mawaziri wake kuhusu utendaji mbovu wa baadhi ya sekta lakini hakuna alichofanya... So the ball rests on his court. Ndo maana watu wengi wanaona rais ameshindwa kazi kwa sababu kuna mambo mengi anashauriwa angekua anawahi kuyatafutia solutions hii nchi isingekua hapa ilipo. Pesa ambazo zimeibiwa nyingi ungekuta zimeokolewa so yes the president has to be held accountable and to be honest He's got to go. Ameshindwa kuongoza na kuiendesha hii nchi.

umezungumza suala la msingi isipokuwa bila kubadilika mfumo hakuna mabadiliko yeyote.
 
Kauli ya jk kuwa mawazili alowatimua wanawajibika kwa makosa yasio yao, bali ya watendaji walio chini yao

Kwa hiyo JK atawajibika kwa makosa yaliyotendwa na mawaziri wake?
 
Tutarudi kulekule ambao wezi wanatajwa hela walizoiba zinaoneshwa, hawafanywi lolote na tutaendelea kulalamika. Hii ndio Tanzania. Wezi wote wakubwa wanajulikana, nothing will happen to them. Utaniambia, tena hata ubunge wataendelea nao. Hii ndio Tanzania, unless the whole system is overhauled tutaendelea kulalamika na lolote lilsitokee
nyumba yenye ghorofa tano ujenzi wake unaweza kutumia hata miaka miwili kukamilika lakini kazi ya kubomoa inaweza kuchukua hata chini ya masaa matano.

jk anaweza akawa halioni hili na anafanya kubomoa hata hicho kidogo kilichopo hivyo kuwapa kazi watakaomfuatia kuanza na moja.

Anathibitisha kuwa yeye anaendesha nchi kwa fitina siyo uledi.

kwa nini asiwaambie wafitini lakini aje kwetu na tena bila hatua?
 
Jk hata maana ya 'presidency' hajui, yupo yupo tu, utafikili msukul*...
 
hhahahah JK ni mwana mazingaombwe mzuri sana ... na hasiti kuonyesha vimbweka

Kama kipindi kile cha kampeni alivyokuwa anajidondosha majukwaani, ili aonewe huruma...
 
Unajua JK anasema ivyo bse hao waliosababisha hayo madudu ie makatibu na wakurugenzi pia huwateua yeye sucha that waziri hana KIBSEI nao lazima amsikilize mkuu.
 
umezungumza suala la msingi isipokuwa bila kubadilika mfumo hakuna mabadiliko yeyote.

Hapa ndo mhali nafika natamani kumtukana Huyu JK lakini namsatahi tu, wa enzi za EPA wako wapi kesi sasa zinatajwa kila baada ya miezi mnne, Huyu Mungu tunayemuamini atatenda tu!
 
Back
Top Bottom