JK fanya mambo tutakayokukumbuka nayo!

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,960
544
Rais wa TZ Mh. JK ninakushauri ufanye yafuatayo tutakukumbuka nayo.
1. Tupatie Katiba mpya
2. Tupatie Tume huru ya Uchaguzi
3. Iimarishe CCM kwa kuwafukuza mafisadi
4. Wadhibiti watu wanaotishia maisha ya wengine
5. Usikubali kutenganisha Uenyekiti wa CCM na Urais kwa kuwa watakufanya kama Mbeki wa S/Africa
6. Usiilipe Richmond/Dowans kwani itakuharibia histiria yako
7. Uridhie kuwepo kwa mgombea binafsi.
Natoa hoja!

Wana JF ongezeni mengine.
 
Tayari ameshafanya mambo makubwa yatakayofanya tumkumbuke:

1. Safari nyingi za nje.
2. Ungezeko la ukiukwaji wa haki za binadamu.
3. Kushamiri kwa uharifu- ujambazi na vyombo vya usalama kutokuwa tayari kuwalinda wananchi.
4. Kushinda chaguzi kwa hira.........,

haya yanatosha.
 
lazima tumkumbuke kwa haya 1.kuanguka zaidi ya mara 2 kwaani 2.kuvamiwa na msukuma pale mwanza kwa imani za kishirikina 3. Kupopolewa mawe na wanyakyusa kule mbeya 4.kusema hajui kwa nini nchi yake masikini kule ughaibuni 5.kujibu na kucheka kuwa yeye hana uwezo wa kunyeshesha mvua ya kujaza mabwawa ya umeme. Kwa hayo tu mi ntamkumbuka daima
 
etiafukuze mafisadi ndani ya ccm hahaha yaani hapa ni sawa na mgonjwa wa ukimwi kubadilisha damu je atapona?
 
JK uwe tayari kuikabidhi nchi Chadema 2015 na uachane na siasa za udini.
 
Ajenge uwanja wa ndege Mbeya, viwanda kibao, na kuliweka jiji letu la Mbeya liwe pouwa tuta mkumbuka sana.
 
''Amlipaye Zumari ndiye anayechagua wimbo gani upigwe''.

Vasco Da Gama kawekwa pale na kikundi cha watu. So, daima tu atafuata matwakwa yao. Ukiongezea na uzuzu na ukilaza wake, there in no hope.

Rais Michael Sata wa Zambia ndani ya mwezi mmoja tu keshafanya mambo makubwa hata akifa leo, waZambia watamkumbuka daima. Katika mengi ameyofanya, machache ni:

1) Ametengeneza a ''90 day-plan to tranform the country by first putting it on the right truck within that time''

2) Amepunguza baraza la mawaziri kutoka watu 23 to 19 and squashed out certain positions kwenye wizara karibia zote ambazo zilikuwa ''irrelevant'' lakini watu wapo pale kula mishahara, posho, semina na safari za nje lakini output haionekani.

3) Amefukuza kazi maDC wote 72 - anasema walishageuka kuwa politicians na sasa kaweka 'civil servants'' ambao hawataegemea upande wa chama chochote. Amefukuza kazi maGovernor kadhaa pia ambao walikuwa hawagusiki enzi za nyuma

4) Amedissolve the energy regulation board citing corruption among them.

5) Sasa hivi wapo wanarevise kima cha chini cha mishahara kwa wafanyakazi wote nchini

6) Amezuia ''with immediate effect'' ANY export of minerals without the Bank of Zambia's knowledge registration of such sales. He has also dissolved various boards which he believes were political and corrupt.

7) Zambia Revenue Authority ilikuwa inailipa kampuni flani 4 BILLION Kwacha kila mwezi ( about US$ 1.2) for JUST scanning documents!! Kaagiza waajiriwe watu wa kufanya kazi hiyo haraka. Kampuni hiyo inaaminika kwa 100% ilikuwa ni ya raisi aliyepigwa chini, bwana Rupia Banda.

JK wetu sijui tutamkumbuka kwa lipi JEMA? - labda kwa kubariki na kukubali Lowassa ajiuzuru (ili kuiokoa serikali yake...)
 
Umenena Mkuu.Kumbe JK akimkabidhi Slaa wa Chadema atakaposhinda 2015 tunawezafikia ya Zambia.Aaache kuilindia CCM madaraka wakati Watanzania hawaipendi.
 
Ngoja tuone kama NEC ijayo ya CCM itakuwa mwisho wa magamba mawili yaliyobaki CCM.
 
mi uyu jamaa namkumbuka kwa haya
1.maisha duni kwa watanzania wengi
2.mgao wa umeme uliokithiri
3.malipo ya mabilioni kwa dowans
4.kwa upumbavu alionao kuwapigia debe mafisadi ktka uchaguzi ati ni
ajali ktk siasa (mf basil mramba)
 
Afanye mambo mazuri si haya kwani haya ni kumbukumbu mbaya,afanye mambo yenye manufaa kwa taifa letu.
 
Back
Top Bottom