JK: Darling of the West, criticised at home

Tanzania haina shida ya $900M? Kama tuna uwezo wa kununua magari ya Tsh 5 trillion, $900m ni nini? Kama tunatumia mabilioni kununua suti za kuvaa wakati wa maonesho kwanini tukose hela ya kilimo? And by the way, unajuwa marekani watapata kiasi gani kwenye uranium yetu? $900 tunajilipia wenyewe, under the chief Mangungo contract!

Mkuu ni wachache wanaoweza kuchanganua hayo !
 
Mobutu and Savimbi were also darlings of the west....they normally take on board those that can dance to their tune!
 
A major focus of the G8 since 2009 has been the global supply of food.
At the 2009 L'Aquila summit, the G8's members promised to contribute $20 billion to the issue over three years.
Since then, only 22% of the promised funds have been delivered.
At the 2012 summit, President Obama plans to ask G8 leaders to adopt a policy that would privatize global food investment.

Kwa sababu hiyo lazima kuwe na conference ya kutafuta ardhi ya kulima:

Mwaka 1884 ilikuwa hivi:
62-638.jpg


Mwaka 2012 ikawa hivi:





Going again in the books of history.

Wanataka ardhi hao hawana lolote.

Jamani toka lini maskini na tajiri wakakaa meza moja, toka lini maskini na tajiri wakaongea lugha moja, toka lini maskini na tajiri wakapakua chakula toka sahani moja.

Someni gazeti la East African toleo lililopita kuhusu Tanzania tunavyoongoza kwa kugawa Ardhi, ni zaidi ya ekari milioni moja zimegawiwa!!!!!!! Ukiona hivyo na objects za G8 mwaka huu ndo utajua kwa nini maskini na tajiri wameweza kula meza moja.
 
Hata Sadat wa Misri alikuwa darling of the west. Lakini tunajua mwisho wake ulikuwaje. You cannot serve 2 masters at the same time.

Jasusi, tatizo la huyu mkweree hasomi historia ama sivyo asingekuwa anaongozwa na short-term interests zake kwa hao westeners!! Sahihi kabisa, hata hao watawala wa Misri nao walikuwa darlings wa west lakini fate ya Mubarak na Sadat kabla yake tunazijua; lakini hata hapa karibu ya nyumbani Mobutu pia alikuwa darling wa west lakini when the chips came down tumbling the western masters were no where to be seen!! Mkweree huyu hajifunzi kazi kuzurula tu dunia nzima na kununuliwa suti na mashati na masters wake kisha anauza nchi!!UKIMUONA ADUI YAKO ANAKUSIFIA UJUE WEWE MJINGA!!!
 
I don't hate the West the problem is the profit percentage from the Mines is very little we get 2% 3% it is not enough

Or they don't allow our experts to work in the local mines they send them Overseas to work like Congo, Eritrea etc

They will not let local experts works in our mines because they will know how much they send Minerals without our

Poor Government knowledge.

you are getting 4% even before the mining companies record any profit in their books. When capital is returned and profits are being made, you are still getting the 4% plus 30% as Income Tax plus whatever profits you have agreed upon, 15 to 30% of profits, add that up and still say you are not earning.

If you earn and do not know how, when and where to spend your money, do not blame it to the investors. They are not here to give you charities, they are here to invest and make profits.

If you can do it for yourselves why invite them? did they invade your country? did they force you into signing the agreements? that if you do not let us mine the whatever we will blanket bomb you? Be real!
 
Kukaribishwa G8 si issue ya kujivunia wakati ameshindwa kutuongoza ili tuweze kufaidika na natural resources tulizonazo. wanamthamini kwa sababu wanajua Tanzania ina utajiri mkubwa wa natural resources na wanaweza kupata kwa gharama ndogo tu ya kutulipa kwa misaada yenye masharti kibao mi naona tunapaswa kuachana na misaada isiyo na tija, tujipange upya hata kama ni kwa shida lakini baadae tufaidi.
 
Tuwe na shukran na tuone mambo mazuri. Rais ameitwa Camp David to received a grant for agriculture $900m so what do you want you dammies. Always criticize for anything!!!!!

Hiyo ni hela ya Gulfstream na radar, achilia EPA na mazagazaga mengine kibao, Dowans, IPTL, etc.

Wake up!!!!
 
Kukaribishwa G8 si issue ya kujivunia wakati ameshindwa kutuongoza ili tuweze kufaidika na natural resources tulizonazo. wanamthamini kwa sababu wanajua Tanzania ina utajiri mkubwa wa natural resources na wanaweza kupata kwa gharama ndogo tu ya kutulipa kwa misaada yenye masharti kibao mi naona tunapaswa kuachana na misaada isiyo na tija, tujipange upya hata kama ni kwa shida lakini baadae tufaidi.

Charity begins at home, akirudi amwite Matonya state house wanywe naye chai tu, achilia mbali lunch!!!!!
 
The fact that we need investors in the mining sector needs no emphasis. If the sector has so far not benefited us there is nobody to blame but ourselves, you have said we earn between 2% to 3% in loyalties that's not investors' problem but ours bearing in mind that our neighbour Botswana charges loyalty above 10%. In order to reap more from our mineral resources we should go for partinership and not rely on loyalty and taxes. Investors come with capital and technology while we own the resources, we should build capacity in trade negotiations and most importantly engage honest professionals to represent us in such discussions. The new constitution has to give a model of operationalization in the mining and other important sectors rather than leaving this on the prerogative of our politicians some of whom are grossly dishonest.


That's why Our President is the Darling of the West; One of the reason is we charge very low royalties rather than going for partnership and this started during President Mkapa

The Other part is we signed an agreement not to let our Educated Tanzanians in Minerals know-how not work on any of the mines in Tanzania but they let those working there like Mnyika who's a figure head Director with no Mineral know-how will not know the capacity of the mine, the quality of the GOLD, the longevity of the gold mine so that they will continue exploit our wealth. And Our Government is blindfolded we don't know for how long those mines are operational.

We did sell ourselves to them with our open hand pits while we were preaching Socialism for years Mkapa and the GANG they saw $$ and their legs gets weak and accept the exploitation.
 
Back
Top Bottom