Jk chupuchupu

KIROJO

Senior Member
Dec 7, 2011
169
21
Mpango wa kuzima wabunge kugombea ujumbe wa NEC ya CCM nusurua umwengue Rais JK
Source :Mwanahalisi la Leo 15/02/2012.
Soma zaidi
 
Well,,japo mtoa thread kaandika kiufupi mno but the issue was,alipoibua inshu hiyo ya kuwazuia nao walianzisha habari ya mwenyekiti wa chama asiwe rais,ngoma ikawa tamu!
 
Kuna wakati inafaa kutenganisha mambo ya chama na urais maana inapunguza uwajibikaji wa viongozi,kama rais ndio mwenyekiti wa chama ni nani anaweza kumwajibisha kwa urahisi?Mambo haya yatabadilika pale tu wapinzani watakapochukua nchi huku wakiachana na aina ya utawala ambao chama cha Mapinduzi umekuwa ukiutumia.
 
...haya mambo ya kila siku chupuchupu mimi nimeshayachoka, natamani kusikia tu kuwa ameshaenguliwa, sasa kama ni chupuchupu tunapata faida gani kabla na baada ya habari kuripotiwa? Hatuwezi kuthibitisha ukweli wa mambo hayo, uthibitisho tungeupata tu kama yangekuwa yametokea. Aina hii ya kuripoti mambo imekuwa inamfanya JK kama smart for nothing....
 
Nimeishasema mara nyingi humu JF Mwanahalisi, limeishapoteza mvuto wake saizi limejikita zaidi kwenye umbeya na udaku.

R.I.P Mwanahalisi.
 
Nimeishasema mara nyingi humu JF Mwanahalisi, limeishapoteza mvuto wake saizi limejikita zaidi kwenye umbeya na udaku.

R.I.P Mwanahalisi.
Kivipi fafanua sio unatoa maoni kama unamulengo fulani.Kama ni udaku mbona Ya Lowasa yalikuwa ndo mkanda wenyewe,Ya Suti,Richmond,EPA haya umeyasahau
 
Well,,japo mtoa thread kaandika kiufupi mno but the issue was,alipoibua inshu hiyo ya kuwazuia nao walianzisha habari ya mwenyekiti wa chama asiwe rais,ngoma ikawa tamu!

Hapo kwenye red sio inshu ni issue, mbona mwanzo umelipatia hapo kwenye blue? alafu ili neno nimeshasikia mara nyingi sana watu wanalikosea sijui kwanini.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom