JK Brigde: Bei 805bn ni sahihi?

Acheni presha ni makosa ya ki-uandishi, Tanroads hawana single project Tanzani yenye thamani ya $800 mill.

Hakuna mwenye pressure mkuu, kinachoendelea hapa ni kuhoji usahihi wa hiyo habari as it turns out kulikuwa na makosa ya kiuandishi simple.
 
Hili tatizo la waandishi wetu kushindwa mahesabu ya darasa la saba nimeliona mara nyingi sana...Kama mwandishi unafanya makosa madogo kama hayo inaweza kumfanya msomaji kudoubt credibility ya habari yenyewe
 
Hamtaki sasa!? Wabongo bwana.. hilo daraja litakuwa na urefu gani?

200m Mkuu plus 48km of asphalted road....

Mimi naona tuanze kuchanganua barabara....say lets find the latest built road hapa nchini, tujue ilmegharimu kiasi gani, and then tuone kama kuna uwiano!!

Lakini tukumbuke jamaa anaondoka, hii mikopo nafuu hii ndiyo njia nzuri za kujichukulia fedha, ataondoka na mabilioni na kutuacha na madeni kibao....Kazi kwa rais ajaye
 
THE Tanzania Roads Agency (TANROADS) has signed a contract with a South Korean M/S Hanil Engineering and Construction Company Limited for construction of Malagarasi Bridge in Kigoma region.

Speaking at a brief signing ceremony, the Chief Executive Officer of Tanroads, Mr Ephraim Mrema, said the 275-metre long bridge construction project will be completed in the next three years.

He said the project will be financed jointly by the Republic of Korea which will contribute USD 23 million and the government of Tanzania, which will also contribute USD 33 million, totalling USD 56 million - the value of the project. -SOURCE delenyuz

Kkwani Mrema bado yupo hapo TANROADS? Je Mkataba huu ulisainiwa lini?
 
Hilo Gazeti la HabariLeo/Gwiji la habari wamekosea. Ni BILLIONI 85 NOT 805

KWAAJILI YA UJENZI WA DARAJA KUBWA 200, MADARAJA MADOGO 25M NA 50M BARABARA KM 48, MACULVERT MAKUBWA/BOX CULVERTS = 10, MA CULVERT MADOGO/PIPE CULVERTS = 80.

IKUMBUKWE UNIT BRIGE/UMOJA BRIDGE LILIJENGWA KWA BILLION 22, AMBALO LILIKUWA MITA 720
 
Kkwani Mrema bado yupo hapo TANROADS? Je Mkataba huu ulisainiwa lini?

Nadhani hii ilikuwa sometimes back lakini pia inasaidia kuendeleza ule wasiwasi wetu maana kilichoandikwa na habarileo ndiyo actual opening ya mradi wenyewe. Na cha kushangaza walitoa wapi hiyo figa isiyofanana kabisa na hizi numbers za kwenye daily nuwz!
 
Hilo Gazeti la HabariLeo/Gwiji la habari wamekosea. Ni BILLIONI 85 NOT 805

KWAAJILI YA UJENZI WA DARAJA KUBWA 200, MADARAJA MADOGO 25M NA 50M BARABARA KM 48, MACULVERT MAKUBWA/BOX CULVERTS = 10, MA CULVERT MADOGO/PIPE CULVERTS = 80.

IKUMBUKWE UNIT BRIGE/UMOJA BRIDGE LILIJENGWA KWA BILLION 22, AMBALO LILIKUWA MITA 720

And what about this one?

totalling USD 56 million - the value of the project.
 
THE Tanzania Roads Agency (TANROADS) has signed a contract with a South Korean M/S Hanil Engineering and Construction Company Limited for construction of Malagarasi Bridge in Kigoma region. Speaking at a brief signing ceremony, the Chief Executive Officer of Tanroads, Mr Ephraim Mrema, said the 275-metre long bridge construction project will be completed in the next three years. He said the project will be financed jointly by the Republic of Korea which will contribute USD 23 million and the government of Tanzania, which will also contribute USD 33 million, totalling USD 56 million - the value of the project. -SOURCE delenyuz
Kitufe cha thenku yuu kiko wapi? Kuna mijitu humu ndani kila siku ni lawama tu!
 
Kitufe cha thenku yuu kiko wapi? Kuna mijitu humu ndani kila siku ni lawama tu!
Mkuu ndo lugha gani ya kuitana hivyo? Kwanini usibishane kwa hoja badala ya kutukanana? Isitoshe kulikuwa na ubaya gani wa mtoa mada kutilia shaka kiasi kikubwa namna ile kwa mradi huu. Je ni kosa au ubishi wake kutilia shaka habari aliyoisoma kwenye gazeti linalomilikiwa na serikali mpaka umwite mjitu?

Tubadilike waheshimiwa!
 
Mi naona tatizo kubwa hapo ni hii mikopo ya bei nafuu.
Kiongozi bila kujali miaka ijayo atakapokua amemaliza muda wake tanzania itakua na mzigo kiasi gani wa madeni ....yeye just anaingia kichwa kichwa kusaini mkataba ili ajenge mradi wa ndoto zake kwa muda aliokaa madarakani ili kujijengea political popularity.
Jamani watanzania tujijengee culture ya kujigaramia wenyewe mwishoni tutauzwa!!!

Ila siamini maana MAKOFULI si yupo bwana.....hope kila kitu kitaenda sawa.
 
Mkuu ndo lugha gani ya kuitana hivyo? Kwanini usibishane kwa hoja badala ya kutukanana? Isitoshe kulikuwa na ubaya gani wa mtoa mada kutilia shaka kiasi kikubwa namna ile kwa mradi huu. Je ni kosa au ubishi wake kutilia shaka habari aliyoisoma kwenye gazeti linalomilikiwa na serikali mpaka umwite mjitu?

Tubadilike waheshimiwa!

busara ndogo tu km hii inahitajika kuwabadilisha watu, haihitajiki nguvu kubwa ya kurudisha matusi, bilashaka atarudi kuomba msamaha.
 
Mkuu ndo lugha gani ya kuitana hivyo? Kwanini usibishane kwa hoja badala ya kutukanana? Isitoshe kulikuwa na ubaya gani wa mtoa mada kutilia shaka kiasi kikubwa namna ile kwa mradi huu. Je ni kosa au ubishi wake kutilia shaka habari aliyoisoma kwenye gazeti linalomilikiwa na serikali mpaka umwite mjitu?Tubadilike waheshimiwa!
Nimekusikia mkuu, thenki yuu
 
Hii mikataba ya mikopo nafuu ndo vitu tunavyotaka vipitie kwa uwakilishi wa wananchi ili vichambuliwe kabla ya kukubaliwa. Siyo Raisi anaibuka tu kwenda kukopa ili atimize ndoto yake pasipo wananchi kushirikishwa katika maamuzi ya mkopo huo! Nadhani katiba mpya ita address hili pia.

Mimi naamini tunapokopa ni lazima tuitumie hiyo hela kufanya kitu kitakachoweza kurejesha huo mkopo baada ya muda fulani. Kama ina make business sense kujenga daraja la maragarasi leo then is well and good. lakini vitu hivi vifanyiwe uchambuzi na kujadiliwa kabla ya kuingia mkataba.

Tutumie mikopo ya nje kwa kujenga miundo mbinu ya kukuza uchumi wetu basi. Lakini tutumie mapato yetu ya ndani kutimiza ahadi na ndoto zetu za kisiasa na huduma za kijamii.
 
Kama ni kwa ajiri ya maendeleo halali ya Taifa letu...lets do it maana tusiangalie mambo ya leo tu tukasahau kuna kesho
 
Back
Top Bottom