Elections 2010 JK bado hafikirii kushindwa?

Ntemi Kazwile

JF-Expert Member
May 14, 2010
2,182
307
Katika makala yake ya leo, Ansbert Ngurumo amejadili suala nyeti na ndani yake kuna tuhuma za hujuma za kimafia zikifanywa na wasaidizi wake juu ya wagombea ambao wanaonekana kuwa tishio kwake. Kama kweli kuna serikali kwa ajiri ya watu, natarajia angalau Ngurumo ataombwa ushirikiano wake ili avisaidie vyombo vya dola juu ya yale aliyoyaandika ama vyombo hivyo viyafanyie kazi juu ya tuhuma alizotoa, vinginevyo itakuwa ni hatari kwa mstakabali wa amani na umoja wa taifa letu.

Habari yenyewe iko hapa

JK bado hafikirii kushindwa?
 
Back
Top Bottom