Jk bado ana hamu ya kunywa chai na obama??

matawi

JF-Expert Member
Mar 29, 2010
2,052
242
Kwa press release iliyotoka USA kuwapongeza watanzania kuhusu kuendeleza kuchagua viongozi kupitia mfumo wa vyama vingi bila kumpongeza Jk nina uhakika akiambiwa na Obama karibu chai atagoma. Sasa sijui kama jk ataendelea kumkumbusha Obama kuhusu vyandarua alivyosema ameahidiwa? Nahisi akina Kibaki huko walipo watakuwa wanashangilia sana maana kuna wakati Kikwete aliteta na Bush kuhusu kenya:israel::israel::israel:
 
Back
Top Bottom