Jk azungumza na wanamichezo wa Tz wanaoishi Uingereza!

Jul 10, 2012
33
8
Wadau nimepata habari kuwa Raisi wenu Jk,leo amekutana na wanamichezo wa Tz wanaoishi Uingereza, ameongea nao mambo mengi ya Tz na kuwaasa wasiogope. Napend nijue hv ndiyo kazi mliomchagua akaifanye? Wakati taifa lipo kwenye majonzi ya mgomo wa madaktari yeye wala haimuumi jamani? Nashangazwa sna na hili kwa kweli hebu tujitone kupambana n hii serikali dhaifu inayoendekeza mambo ambayo hata hayana tija. Mama Migiro na akili zake zote hajawahi kuyafanya hayo ili hali London ndiko alikokuwa naishi,huu ni ushamba au kukosa la kufanya?. Natoa hoja.
 
Dhaifu! Na huo ndiyo udhaifu aliopsema Mnyika.
Na hao wanafunzi hawakupata nafas ya kuuliza maswali?
Wangehoji umuhimu wa Msitu wa Mabwepande kwa Taifa na je unamilikiwa na TANAPA au Wizara ya Maliasili!
 
wanamichezo wa Tz wanaoishi UK, ni akina nani hao ? Kama wapo si wangeshiriki Olympic kutuwakilisha badala ya hao vikaragosi wa Bayi waliokwenda kutalii na kufanya shopping !! Au ndo wale ndg zake Lusinde na watoto wa pembeni wa mafisadi wa magamba..... wanatumia jina la wanamichezo wakati wote ni mazezeta. Angalieni huyo anaweza kuwa anatafuta sakula kwa ajili ya Cameron !! Anawaambia wasiogope mabwepande ??
 
Wadau nimepata habari kuwa Raisi wenu Jk,leo amekutana na wanamichezo wa Tz wanaoishi Uingereza, ameongea nao mambo mengi ya Tz na kuwaasa wasiogope. Napend nijue hv ndiyo kazi mliomchagua akaifanye? Wakati taifa lipo kwenye majonzi ya mgomo wa madaktari yeye wala haimuumi jamani? Nashangazwa sna na hili kwa kweli hebu tujitone kupambana n hii serikali dhaifu inayoendekeza mambo ambayo hata hayana tija. Mama Migiro na akili zake zote hajawahi kuyafanya hayo ili hali London ndiko alikokuwa naishi,huu ni ushamba au kukosa la kufanya?. Natoa hoja.

Duh kweli wajinga wali wao, hujui unachoongelea na huna uhakika pia, sasa ulitaka asikutana na wanamichezo wetu? Na nani alikuambia migiro alikuwa anaishi London? Washwa washwa mna shida mpaka kichwani
 
Uwt wamemchakachua Dr slaa,huyu JK hatukumchagua kabisa yani PAYE na VAT ndio anaenda kutumbua huko bila manufaa kwa nchi,eheee warioba njoo haraka huku kwetu tuchangie maoni ya katiba mpya tushachoka na huyu rais wa nchi za nje.
 
Duh kweli wajinga wali wao, hujui unachoongelea na huna uhakika pia, sasa ulitaka asikutana na wanamichezo wetu? Na nani alikuambia migiro alikuwa anaishi London? Washwa washwa mna shida mpaka kichwani

washwa washwa wewe uliyetumwa na magamba,kwani huko Londoni alikokwendfa mmemtuma akajifunze namna ya kuvaa gloves ili aje kusaidia wakina mama wakijifungua, na ule wenu mataahira kama nyie mtaendelea kushabikia jinga mpaka mkome,Riasi kuhudhuria Kongamano la Uzazi wa mpango kweli! Amfute kazi basi waziri wa afya na waziri wa maendekeo ya wanawake ,jinsia na watoto ajiweke yeye Punda kabisa.
 
hakuwapa ushirikiano,vifaa wakati timu ipo ktk maandalizi, leo anakwenda kutoa ahadi huku akijua hakuna mafanikio
 
Kweli sikuona umuhimu wa yeye kuhudhiria mambo hayo ambayo angetuma hata uwakilishi na kusingekuwa na shida. Inasikitisha sana kuona rais anawameza mawaziri wake katika shughuli zao ambazo walipaswa kabisa kuzifanya wao lakini rais anaingilia.

Hatuwezi kujua kabda alikuwa na appoibtment ya kumtibu mtu London na yeye tu ndiyo alikuwa na dawa ya mgonjwa huyo!!!!!
 
mzee wa rula,hapo umenena na nina uhakika dawa yenyewe aliyopeleka ni KUCHA na MENO ya Dr.Uli.
Au na jipa matumaini kuwa na yeye ni Dr? Wa kupewa muulizeni Intern alifanyia wpi!
 
Jf sometimes mnakuwa na chuki za kipuuzi kwa Jakaya. Sasa kuna ubaya gani Jakaya kukutana na wanamichezo watakaoliwakilisha Taifa?. Huu ni wivu wa wake wenza.
 
Siyo wanamichezo wanaoishi UK ila ni wawakilishi wa TZ kwenye michezo ya olympic itakayofanyika London Uk.
 
Jf sometimes mnakuwa na chuki za kipuuzi kwa Jakaya. Sasa kuna ubaya gani Jakaya kukutana na wanamichezo watakaoliwakilisha Taifa?. Huu ni wivu wa wake wenza.

Tunampenda Presidaa wetu... Kwahiyo ndo kusema atarejea nchini baada ya Kumalizika kabisa kwa Olympic games siyo.?
 
Back
Top Bottom