JK azua mtafaruku kwenye daladala

Hebu sasa kila mtanzania kwa nafasi yake ajitukane kimoyomoyo kwa kuwa na roho ya uvumilivu mahali pasipohitaji uvumilivu tena....."mimi zezeta nitavumilia matatizo yote ya umeme,maji,mafuta n.k kwa sababu yote ni mipango ya Mungu maana ye ndo mgawaji, yeye ndo huwafanya viumbe wake wengine wawe majasiri na wengine kama mimi tuwe mazezeta, huwafanya wengine wafikirie kwa kichwa na wengine kama mimi tufikirie kwa kutumia makalio......

Sasa hivi watanzania tunangoja nini? Hv hatuoni mifano ya nchi za Africa ambao wameamua kujitoa kwa ajili ya vizazi vyao vya baadae? Huyu jamaa (JK) si tulimweka wenyewe?

Sasa unadhani wa kumtoa? Ni sisi wenyewe....tuingieni mtaani jamani, tunaweka kambi pale magogoni siku 2 tu anaachia ngazi. Au mnataka mpaka mambo yawe mazito zaidi ndo mshtuke? Huyu mkwele amesha shndwa kuendesha hii nch tusingoje hyo miaka 4 ijayo ni mingi sana wakuu.

Kama kweli tunataka mabadiliko basi tunabid tudai na sio kuchekeana wana jamii....mi nashaur kuwa tuendelee kupeana habari ya maandamano kupinga utawala wa huyu jamaa ili j3 wiki ijayo tuingie barabarani. Au mnadhani kwa kupiga domo tv hapa jf ndo matatizo yetu yatakwisha? We need to fight....lets rise up people.

Kwa taarifa yako JK alishindwa vibaya sana ktk uchaguzi mkuu uliopita kiasi kwamba tume na maswaiba wake ikawalazimu kupotezea kura nyingi za watanzania na kuacha za zinazoonyesha ushindi wa raisi ulikuwa kwa takribani 5m ili iendane na idadi ya wanachama wa ccm na kurahisisha swala la kuutetea huo ushindi.

Kwa kifupi ni kwamba JK aliwekwa madarakani na tume ndio maana haoni na wala hana nia ya kuwajibika kwa wananachi.

kama kuna watu wanaofikiria kwa kutumia makalio basi ni baadhi ya viongozi watendaji manayake maamuzi mengi wanayofanya wanayafanya kwa kutumia makalio madogo bac ningewashaur watumie dawa za mchina

kama kuna watu wanaofikiria kwa kutumia makalio basi ni baadhi ya viongozi watendaji manayake maamuzi mengi wanayofanya wanayafanya kwa kutumia makalio madogo bac ningewashaur watumie dawa za mchina

ipo list humu ya watu wa aina hii

kama hadithi y akutunga tu
Asubuhi ya leo nilikuwa kwenye daladala nikitokea Kinondon nikielekea Ilala,ndani ya daladala ile dereva alifungulia TBC Fm mjadala uliokuwepo ni wa watu kupiga simu na kuchangia suala la uhaba wa mafuta, wengi walitoa ushauri kuwa wauzaji wafungiwe leseni,,,,,,kwa kuwa kipindi kilikuwa ukingon kikaisha, mara mtangazaj akacheza hotuba ya Nyerere ambapo nyerere alikuwa akikemea juu ya masuala ya rushwa na jinsi wafanyabiashara wanavyokwepa kodi na the way wanavyoiweka serikal viganjani.

Abiria wote walinyamaza,,,,,punde mtangazaj akacheza hotuba ya RAIS KIKWETE, ntajitahid kumnukuu"Tangu mwaka 2001 mpaka sasa Tanzania ni miongon mwa nchi 20 ambazo uchumi wake unakua kwa Kasi", miguno ikaanza na vicheko, akatokea jamaa mmoja ambae alikaa na mwanajesh aliyekuwa akitabasamu tu,"HUYU ANATUZINGUA".

Yule jamaa aliongea huku amekunja sura, mara hotuba ya JK ikaendelea namnukuu"Watu huwa hawataki kujikubali, sasa kama hujikubali itakuwaje??"

Kilichofuata hapo tena si kuisikiliza hotuba bali ni zogo kwenye daladala, kila mtu akiibeza ile hotuba, yule mwanajesh nilimsikia akisema"HUYO NDIO KIKWETE BWANA".

Nikabaki najiuliza mbona hotuba ya Nyerere hawakuikejeli? Maana Nyerere alisema "SERIKALI CORRUPT HUWA INAWAOGOPA WAFANYABIASHARA, SERIKALI CORRUPT HUWA HAIKUSANYI KODI BALI HUWAONEA WAFANYABIASHARA WADOGO WADOGO, WALE WAKUBWA INAWAACHA NA HATA IKIWAAMBIA WANASEMA AH ATATUFANYA NINI HUYU?"

Haya alosema mzee Nyerere ndio yanayotokea leo kuhusu mafuta yanaendana na hiki kipande cha hotuba.

Similar Discussions

Back
Top Bottom