JK Azidua tawi la CCM Fake

Uncle Rukus

JF-Expert Member
Jun 16, 2010
2,415
398
CCM leo imezindua tawi lao la Boda to Boda, ambalo inasemekana ni mkusajiko wa vijana wanao endesha bajaj na pikipiki, tawi ili limejengwa jana usiku saa tatu baada ya kuwaandikisha majina vijana wanaouza mau na waendesha piki piki eneo hilo na hatimae kuwapa pesa na kuwajulisha kuwa wanajenga tawi lao hapo hivyo wao watakuwa wasimamizi wa shina hilo jipya..

Ujenzi uliendelea usiku huo na kumalizika leo saa tano asubuhi. Magari ya kampeni ya CCM yalizunguka mitaa yote ya Mbezi juu na Mbezi Beach ya kiwajulisha wakazi wa maeneo hayo kuhusu shina hilo, na kusema litaziduliwa mwenyekiti wa CCM Mh. Jakaya Mrisho Kikwete, ndiye atayae lizindua

Saa 4:20 jioni rais ali wasili eneo hilo akipokelewa na wajumbe wa nyumba kumi na baadhi ya wakazi wachache waeneo hilo, alikaribishwa na mwenyekiti wa waendesha piki piki aliye jitambulisha kwa jina moja la Thomas, na kumueleza mwenyekiti wa CCM kuwa wameanzisha tawi hilo baada ya kuona CCM ndicho chama pekee kinacho jail maslahi ya wananchi na kina dumisha amani. Akawashukuru Charles Kimei na mke wake kwaku gharamikia ujenzi wa tawi hilo..

Hatimaye walimkaribisha rais kuzindua tawi hilo, rais alikwenda kukata utepe na kupandisha bendera ya CCM,kichekesho ni kwamba alipo maliza kupandisha hiyo bendera aligundua kuwa ilikuwa imefungwa vibaya kwani maandishi yalikuwa yana tizama juu na hivyo kushindwa kusomeka,alipata kazi ya ziada ya uishusha na kuifuga upya akisaidiana na mlinzi wake…

Alirudi kwenye gari yake na kuchukua mic na kuwashukuru vijana hao wa kujiunga na CCM na kuzindua tawa hilo, na kuwa shukuru Kimei na mke wake kwa mchango wao ,aliwaambia vijana hao wasiishie kuungana tu kwenye kwenye maswala ya vyama bali wa fanye hivyo atakwenye maswala ya kujiinua kiuchumi na kwenda kukopa mikopo…
Image029.jpg
Image027.jpg
Image028.jpg

Kuna ishara nyingi mbaya zimejionyesha kwa CCM
.kIKWETE KUANGUKA SIKU YA USINDUZI WA KAMPENI
.MLINZI WAKE NAMBA ONE .. SHEIKH YAHAYA KUUGUA
.HIYO YA kUPANDISHA BENDERA KICHWA CHINI
.HELKOPTA YAO YA KAMPENI KUGONGA MTI
nk..

Hawa walivyo watu wa kinyume nyume usije shangaa wakisema kuwa mti ndio uligonga Helkopta yao!

CCM leo imezindua tawi lao la Boda to Boda, ambalo inasemekana ni mkusajiko wa vijana wanao endesha bajaj na pikipiki, tawi ili limejengwa jana usiku saa tatu baada ya kuwaandikisha majina vijana wanaouza mau na waendesha piki piki eneo hilo na hatimae kuwapa pesa na kuwajulisha kuwa wanajenga tawi lao hapo hivyo wao watakuwa wasimamizi wa shina hilo jipya..

Ujenzi uliendelea usiku huo na kumalizika leo saa tano asubuhi. Magari ya kampeni ya CCM yalizunguka mitaa yote ya Mbezi juu na Mbezi Beach ya kiwajulisha wakazi wa maeneo hayo kuhusu shina hilo, na kusema litaziduliwa mwenyekiti wa CCM Mh. Jakaya Mrisho Kikwete, ndiye atayae lizindua

Saa 4:20 jioni rais ali wasili eneo hilo akipokelewa na wajumbe wa nyumba kumi na baadhi ya wakazi wachache waeneo hilo, alikaribishwa na mwenyekiti wa waendesha piki piki aliye jitambulisha kwa jina moja la Thomas, na kumueleza mwenyekiti wa CCM kuwa wameanzisha tawi hilo baada ya kuona CCM ndicho chama pekee kinacho jail maslahi ya wananchi na kina dumisha amani. Akawashukuru Charles Kimei na mke wake kwaku gharamikia ujenzi wa tawi hilo..

Hatimaye walimkaribisha rais kuzindua tawi hilo, rais alikwenda kukata utepe na kupandisha bendera ya CCM,kichekesho ni kwamba alipo maliza kupandisha hiyo bendera aligundua kuwa ilikuwa imefungwa vibaya kwani maandishi yalikuwa yana tizama juu na hivyo kushindwa kusomeka,alipata kazi ya ziada ya uishusha na kuifuga upya akisaidiana na mlinzi wake…

Alirudi kwenye gari yake na kuchukua mic na kuwashukuru vijana hao wa kujiunga na CCM na kuzindua tawa hilo, na kuwa shukuru Kimei na mke wake kwa mchango wao ,aliwaambia vijana hao wasiishie kuungana tu kwenye kwenye maswala ya vyama bali wa fanye hivyo atakwenye maswala ya kujiinua kiuchumi na kwenda kukopa mikopo…

Mhhh! nataka kuiamini hii taarifa yako. naomba credibility yake sir. I mean mazingira ya ripoti maana hata media zake wangetangaza namaanisha radio Uhuru na tivii ya ccm (TBC1). nifafanulie zaidi hii ishu sir

Kama hii taarifa ni ya kweli, nadhani uongozi wa Jk una matatizo makubwa zaidi ya tunayoyaona

Mhhh! nataka kuiamini hii taarifa yako. naomba credibility yake sir. I mean mazingira ya ripoti maana hata media zake wangetangaza namaanisha radio Uhuru na tivii ya ccm (TBC1). nifafanulie zaidi hii ishu sir

Mkuu Msanii, huna sababu ya kutilia shaka habari hii. Leo JK alikuwa anautubia kwenye viwanja vya tanganyika 'pekasi' na kabla ya kwenda uko alipitia maeneo ya Tankbovu karibu na kituo cha shule ya Mbezi beach kuzindua hilo tawi la kisanii...

Na wakati zoezi zima la uzinduzi linaendelea kuna daladala aina DSM linalofanya safari zake K/koo Tegeta lilikuwa na abiria ambao walianza kumzomea na kumuonesha ishara ya vidole viwili..

Msanii , kesho nitapita hapo kwenye hilo shina nichukue picha kadhaa nikuwekee hapa, wakati watukio sikuweza kuchukua picha.

hiko kipande kwenye bold ndicho cha kuvutia zaidi.
Ila kama KIMEI anahusika kwenye hazina ya ccm basi tumwamini vipi kwenye ofisi ya umma? maana yeye si mkurugenzi mtendaji wa CRDB? ambapo serikali ina hisa zake humo? kama anafikia kuwa bias kwa nini asiachie madaraka na kuwa mhazini wa ccm? au anajipalilia aje kuwa next gavana wa BOT? Sidhani.

Kuhusu hilo la kutaka ugavana tuliwahi kuliongelea hapa mwaka 2008,tafuta hiyo topic ufunguke zaidi.

Kama umeisoma habari hii vizuri kuna picha utaiona kuhusiana na Kimei, Kimei amekuwa mfadhili mzuri sana wa shughuli yingi za CCM, pasipo kujificha... Na hii idea ya kujenga hili shina niyake kwani wale vijana wauza maua na waendesha piki piki walikuwa hawajui chochote juu ya hilo shina hadi jana walipo fuatwa na kuandikishwa majina... Kimei kuna kitu anatafuta na mda siyo mrefu mtajua.

Kimei is another goner a loser.
bank ya CRDB imekuwa one of the very complicated bank next to NMB

Ndg Msanii,
Kumbuka kwamba ni benki hii hii inayosimamiwa na Kimei ambayo ilipitisha karibu theluthi nzima ya pesa za EPA, na ripoti zake tunazo hapa JF in soft copy. Kwa hiyo hata mie sishangai kwamba Kimei amefadhili ujenzi wa shina la wakereketwa pale Mbezi Beach, ambapo ni karibu na kwake kabisa.

Similar Discussions

Back
Top Bottom