JK azidi kukabwa koo! Euronews - Inaonyesha FFU wakikandamiza Maandamano ya CUF

Not_Yet_Uhuru

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,304
431
EURONEWS, Shirika la habari lililo na nguvu na linaonekana dunia nzima kuanzia na Ulaya hadi America na Africa limekuwa likionyesha kila baada ya dakika kadhaa Maandamano ya CUF kudai Mabadiliko ya Katiba Tanzania na jinsi FFU walivyotumiwa na Serikali ya JK kwa maguvu-kuyavunja maandamano hayo ya kidemokrasia ambayo ni haki ya raia yoyote aliye huru. Ni Aibu sana na Anguko lingine hili!!

Kwa wafuatiliaje wa Demokrasia ya Taifa hili, hilo ni pigo jingine kwa JK ndani ya muda mfupi kidiplomasia na inaonyesha anavyokwama kuliongoza Taifa, na udhaifu huu sasa unazidi unafichuka kwa dunia nzima kupitia Euronews inavyoonyesha sasa. Kwa wale wanaoweza kutizama Euronews ktk mtandao au ktk dish wataiona hii 'live' ktk 'no comments' edition 30.12.10 inayoendelea sasa!

Naomba kuwasilisha!
 
Asante mzee.

JK mwenyewe hana hata habari............... sijui bado anatanua huko Malawi au kisha rudi??
 
Tanzanian protesters call for new constitution | euronews, no comment
 
nmepata fursa ya kuona hii habari mara kadhaaa,its funny askari wa ffu anawatangazia waandamaji eti waende ktk vyombo husika kudai madai yao,ss vyombo vyenyewe husika viko mifukoni mwa watu na whausika wenyewe wala hawaoni umuimu wa iyo katiba mpya ku protest ndio njia pekee ya dunia kuona yanayojiri nchini...yaanii i wish hawa euronews waendelea kurusha vihoja vya JK na gvt yake,
 
Inabidi sasa tuandamane nchi nzima ndio hawa vichwa ngumu wataelewa na dunia itaujua ukweli kuhusu Tanzania. Katiba ni ya wananchi sio Kikwete, kwahiyo wananchi tuna haki na maamuzi sio mkwere. Polisi wa Tanzania ni sawa tu na robbots, CCM wanawatumia watakavyo, shame on them. Kuandamana ni haki ya kikatiba ya kila raia wa Tanzania wakiwemo Police.
 
Asante mzee.

JK mwenyewe hana hata habari............... sijui bado anatanua huko Malawi au kisha rudi??

naskia jamaa yuko malawai anakagua kaburi sijui la nani? then akitoka huko atakuja na hadisi za "bila safari za nje watanzania watakufa njaa". sasa njaa na kukagua kaburi wapi na wapi?
 
Kwani hujui mkwere kwa sherehe?
 
As usual, CIVIC UNITED FRONT walking the walk while Chonga Domo Milele keep talking the talk. Jitihada hizi za wanamapinduzi hawa wa CUF zimeshaionyesha Dunia nzima kwamba Tanzania mambo siyo mambo. Wakati phd's Chonga Domo Milele wao wanaendelea kunywa pombe tuu na kudai katiba mpya kwenye kompyuta.
 
nimeiona hii habari jamaa wanairudia rudia kila baada ya nusu saa!! afadhali waonyeshe ulimwengu mambio yanayotokea
 
As usual, CIVIC UNITED FRONT walking the walk while Chonga Domo Milele keep talking the talk. Jitihada hizi za wanamapinduzi hawa wa CUF zimeshaionyesha Dunia nzima kwamba Tanzania mambo siyo mambo. Wakati phd's Chonga Domo Milele wao wanaendelea kunywa pombe tuu na kudai katiba mpya kwenye kompyuta.

Refer walivyosusia hotuba ya rais ndo utajua ni Chonga domo milele au ni strategic Phd's. Alafu uje tena
 
Nawapongeza cuf,pamoja tushikamane tupate katiba tusibezane,cuf na nyie njooni kwenye computer hamjazuiwa
 
Nafsi yako inakusuta sijui unatakaa afanye nini?
as usual, civic united front walking the walk while chonga domo milele keep talking the talk. Jitihada hizi za wanamapinduzi hawa wa cuf zimeshaionyesha dunia nzima kwamba tanzania mambo siyo mambo. Wakati phd's chonga domo milele wao wanaendelea kunywa pombe tuu na kudai katiba mpya kwenye kompyuta.
 
Mi nataka kujua uongozi wa CDM msimamo wao kama chama wamejipangaje? Maana naona mnyika kapeleka hoja kivyake huku mijadala ya zitto kila siku hai kwishi....!!!
Tunataka kauli yenu maana siyo katiba tu yapo mengi....umeme, katiba, dowans, na mbunge wa arusha kupigwa.
Tuachane na mijadala ya kumjadili zitto kila siku humu.
 
EURONEWS, Shirika la habari lililo na nguvu na linaonekana dunia nzima kuanzia na Ulaya hadi America na Africa limekuwa likionyesha kila baada ya dakika kadhaa Maandamano ya CUF kudai Mabadiliko ya Katiba Tanzania na jinsi FFU walivyotumiwa na Serikali ya JK kwa maguvu-kuyavunja maandamano hayo ya kidemokrasia ambayo ni haki ya raia yoyote aliye huru. Ni Aibu sana na Anguko lingine hili!!

Kwa wafuatiliaje wa Demokrasia ya Taifa hili, hilo ni pigo jingine kwa JK ndani ya muda mfupi kidiplomasia na inaonyesha anavyokwama kuliongoza Taifa, na udhaifu huu sasa unazidi unafichuka kwa dunia nzima kupitia Euronews inavyoonyesha sasa. Kwa wale wanaoweza kutizama Euronews ktk mtandao au ktk dish wataiona hii 'live' ktk 'no comments' edition 30.12.10 inayoendelea sasa!

Naomba kuwasilisha!

hadi Al jazeera wameirusha hiyo taarifa....it is shame to our nation and to jk and his fellow culprits!!!!!
 
vita vya panzi nifaidakwa kunguru.wana jf nawa tz kwaujumra tuachemalumbano umojaninguvu marumbanoyanaweza kutupotezea lengo tujadiri tubadilishane vyamaendeleo tupowengi kunavituvingi hatukuvijuwa kupitia jf tumenawauso tunacho kitaka maendeleo yakweli mafanikio ya chama kama kinauchungu na wa tz narasilimali tz ndonafu yamaisha yetu
 
Back
Top Bottom