JK aziba nafasi iliyokuwa ya Balozi Ombeni

Mie sijaelewa hapo panaposema Mwakilishi wa kudumu!!!Ina maana hadi kifo kimtenganishe na hicho cheo?

'Kudumu' nadhani imekuwa na uhusiano na ile dhana ya 'kidumu chama cha mapinduzi' ha hahahah

Suala la kutafasiri kiingereza kwa kiswahili laweza kuwa linagomba hapa, sikia na hii labda 'permanent secretary ukitafasiri unapata katibu wa kudumu.

Mkuu Kiranga kaeleza vema hapo juu, cheo hicho ni cha uwakilishi na anayekabidhiwa si lazima afe ndo akiachie
 
Mkuu umenifurahisha asubuhi.... ha haha ha hahahaha.....
 
Ni dini gani?

Kwa sababu hana jina la John wala Mohamed atakuwa ni wa dini za kiasili huyu. Ila sioni mantiki ya kujua dini ya mtu tunachotakiwa kuangalia ni uwezo wake kiutendaje. Kama mtu ni dhaifu kiutendaji hakuna dini inayoweza kumgeuza.
 
'Kudumu' nadhani imekuwa na uhusiano na ile dhana ya 'kidumu chama cha mapinduzi' ha hahahah

Suala la kutafasiri kiingereza kwa kiswahili laweza kuwa linagomba hapa, sikia na hii labda 'permanent secretary ukitafasiri unapata katibu wa kudumu.

Mkuu Kiranga kaeleza vema hapo juu, cheo hicho ni cha uwakilishi na anayekabidhiwa si lazima afe ndo akiachie

Sasa kwa nini wanatumia neno kudumu?
 
Huyu Balozi kateuliwa kuwa "Mwakilishi wa Kudumu" U.N. Kwa kawaida cheo hiki ni cha kibalozi (ndio maana wanapewa watu waliopata ubalozi) lakini si ubalozi kwa sababu ili uwe balozi inabidi upeleke credentials kwa "Head of State", sasa kwa sababu unapoteuliwa kuwakilisha nchi yako Umoja wa Mataifa hupeleki credentials kwa "Head of State", huwi "Tanzania's Ambassador to the UN" bali unakuwa "Tanzania's Permanent Representative to the UN". Wengine, kama Dr. Mahiga, wanakuwa "and Minister Plenipotential"

Ndiyo maana hatuna Embassy UN, tuna "Permanent Mission of the United Republic of Tanzania to the United Nations".

Mwakilishi wa kudumu ana mamlaka ya kiserikali kutoa matamshi na kufanya maamuzi ya kiserikali bila kupata maagizo kama itabidi kufanya hivyo.

Ni ulimbwende wa itifaki za diplomasia.

Safi sana mtaalam. Hiyo ndio maana halisi ya wa kudumu. Waulize pia wanaoshangaa kwa nini hawashangai kwa makatibu wakuu ambao ni "permanent secretaries"? mbona hawangojei kufa, wanahamishwa, kuachishwa au kustaafu muda unaostahili bila kungojea kifo. Tukushukuru kwa somo, maana hiyo ndiyo lugha ya fani hiyo ya Kidiplomasia.
 
Back
Top Bottom