JK aumbuka - Mdahalo wake

KunjyGroup

JF-Expert Member
Dec 7, 2009
352
26
Jamani niambieni, JK kajibu nin? Kweli huyu jamaa anauwezo wakuongoza nchi? Kibonde kashindilia msumali. Ndie maana kumbe alikataa debate na Slaa & Lipumba.
Nafungua mjadala
 
Kuna vita kali inaendelea yapata nusu saa hadi sasa Mto Tigite, Nyamongo huko Tarime, askari mmoja keshakufa na watu 3 wanaosadikika kuwa ni majambazi! Kamanda Kova nenda kacheki usalama wa vijana wako!
 
Kibonde kashindilia msumali.
acha kupenda penda ovyo, Kibonde kauliza open-ended softball, swali ambalo unaweza kujibu vyovyote unavyotaka "Mheshimiwa, kwanza salam aleikum; Nini itakuwa sura ya serikali yako mpya"? Hilo nalo swali?

Kikwete akasema nitapanga upya mawizara yawe fanisi zaidi, halafu akamuuliza Kibonde mara mbili, "unataka nijibu nini zaidi ya hapo"? Kibonde akakenua kenua meno tu, Kikwete akamwona mwepesi, akapandishia swala la serikali ijayo kukabiliana na urasimu wa makaratasi katika mfumo wa serikali ili ukiomba passport mkoani isiwe lazima uje Dar kuonana na ofisa uhamiaji. And this was arguably the better response Kikwete offered tonight. Mwishoni kina Kibonde wenyewe wakaishia kumpigia makofi Kikwete.

Kikwete ni lightweight ( na amesema hivyo leo "hata mkisema Kikwete hana akili, ovyo, mimi sijali"), lakini sio mbele ya wanahabari wa ilk ya Kibonde, wale ni vibonde wakubwa zaidi.
 
Kuna vita kali inaendelea yapata nusu saa hadi sasa Mto Tigite, Nyamongo huko Tarime, askari mmoja keshakufa na watu 3 wanaosadikika kuwa ni majambazi! Kamanda Kova nenda kacheki usalama wa vijana wako!
Wakulu mmeiona hii?????
hebu walioko huko watueleze kilichojiri jamani
 
acha kupenda penda ovyo, Kibonde kauliza open-ended softball, swali ambalo unaweza kujibu vyovyote unavyotaka "Mheshimiwa, kwanza salam aleikum; Nini itakuwa sura ya serikali yako mpya"? Hilo nalo swali?

Kikwete akasema nitapanga upya mawizara yawe fanisi zaidi, halafu akamuuliza Kibonde mara mbili, "unataka nijibu nini zaidi ya hapo"? Kibonde akakenua kenua meno tu, Kikwete akamwona mwepesi, akapandishia swala la serikali ijayo kukabiliana na urasimu wa makaratasi katika mfumo wa serikali ili ukiomba passport mkoani isiwe lazima uje Dar kuonana na ofisa uhamiaji. And this was arguably the better response Kikwete offered tonight. Mwishoni kina Kibonde wenyewe wakaishia kumpigia makofi Kikwete.

Kikwete ni lightweight ( na amesema hivyo leo "hata mkisema Kikwete hana akili, ovyo, mimi sijali"), lakini sio mbele ya wanahabari wa ilk ya Kibonde, wale ni vibonde wakubwa zaidi.

Chances of u being dumb are 98%. Au ni ushabiki wakijinga? That was de dumbest answer gave. Insane folks would say he gave out a good answer. Pole
 
Kibonde kapeleka shambulizi la kushtukiza..Jk hakutegemea kukutana na pigo la aina ile,do maana kalamba sakafu..bado najiuliza..mnaomlamba JK viatu mmeporwa uwezo wenu wa kufikiri?????????
 
Chances of u being dumb are 98%. Au ni ushabiki wakijinga? ...Insane folks
Lakini ningekuwa na "ushabiki wa kijinga" nisingesema hata Kikwete ni lightweight, ila nimeonyesha kwa nini Kibonde ni kibonde zaidi ya Kikwete kwa sababu kapata nafasi ya kumuuliza Rais swali halafu ka pose an open-ended claptrap kuhusu "sura ya serikali mpya." Kama unaona hapo kafunika basi kati ya wewe na Kibonde na Kikwete nachagua Kikwete japo kiwete.

Kama kuna kitu serikali imekuwa ngumu kukubali ni ku digitize mfumo wao kuondoa redtape za mafaili, na Kikwete anastahili kuwa applauded kwa kutambua kwamba ukiomba passport ukiwa Mbamba Bay isiwe lazima usafiri kuja Dar kutongozana na ofisa uhamiaji. Hilo litapunguza rushwa, urasimu, usumbufu, gharama na litatuweka katika karne hii.

Eti Kibonde kapigilia msumari. Unapenda ovyo.
 
acha kupenda penda ovyo, Kibonde kauliza open-ended softball, swali ambalo unaweza kujibu vyovyote unavyotaka "Mheshimiwa, kwanza salam aleikum; Nini itakuwa sura ya serikali yako mpya"? Hilo nalo swali?
Kweli kwa swahi hili unajiuliza huyu muulizaji kibonde unajiuliza maswali mengi zaidi . Je :-

  • alikurupushwa au kalazimishwa kuuliza swali hili
  • anajua aliyekuwa anamuhoji ni rais wa nchi ambaye ameongoza nchi kwa miaka mitano iliyopita
  • anajua au anaulewa wa matatizo ya ya tanzania au katoka sayari Mars juzi.
ELIMU, AFYA, MIUNDOMBINU, URASIMU, KILIMO, AJIRA , UFISADI. Yaani kibonde kashindwa kutunga sentesi yenye neno mojawapo kati ya haya kutoka na swali bora kwa rais wake .

Bora angemuuliza Real Madrid Wanakuja lini ?
 
Bora. Tena naona yale mabango yote ya ujio wa Real Madrid yametolewa haraka haraka na kuwekwa mapicha ya Kikwete kakaa na Mama yake, ushaiona hiyo? Eti anamjali Mama yake. Sasa sisi itusaidie nini kama mgombea Urais anamjali Mama yake? CCM bana!
 
Wadau msihangaike maswali yalishapangwa na ndo maana hakukuwa na maswali zaidi ya kumbeba JK!Ule ulikuwa mkutano na wala co mdahalo maana kwa nini waliuliza waandishi wa habari na co wananchi kama wagombea wengine afu kwa nini hakupewa muda wa kujibu maswali kama wagombea wengine,me naona waliandaa kila ki2!ovyooooo
 
Lakini ningekuwa na "ushabiki wa kijinga" nisingesema hata Kikwete ni lightweight, ila nimeonyesha kwa nini Kibonde ni kibonde zaidi ya Kikwete kwa sababu kapata nafasi ya kumuuliza Rais swali halafu ka pose an open-ended claptrap kuhusu "sura ya serikali mpya." Kama unaona hapo kafunika basi kati ya wewe na Kibonde na Kikwete nachagua Kikwete japo kiwete.

Kama kuna kitu serikali imekuwa ngumu kukubali ni ku digitize mfumo wao kuondoa redtape za mafaili, na Kikwete anastahili kuwa applauded kwa kutambua kwamba ukiomba passport ukiwa Mbamba Bay isiwe lazima usafiri kuja Dar kutongozana na ofisa uhamiaji. Hilo litapunguza rushwa, urasimu, usumbufu, gharama na litatuweka katika karne hii.

Eti Kibonde kapigilia msumari. Unapenda ovyo.

Kwa hiyo umchague jk et paspot utapatia mkoani no way.
 
Bora. Tena naona yale mabango yote ya ujio wa Real Madrid yametolewa haraka haraka na kuwekwa mapicha ya Kikwete kakaa na Mama yake, ushaiona hiyo? Eti anamjali Mama yake. Sasa sisi itusaidie nini kama mgombea Urais anamjali Mama yake? CCM bana!
tupo wengi tuliokereka na bango hiloo kumbe!
 
Wadau msihangaike maswali yalishapangwa na ndo maana hakukuwa na maswali zaidi ya kumbeba JK!Ule ulikuwa mkutano na wala co mdahalo maana kwa nini waliuliza waandishi wa habari na co wananchi kama wagombea wengine afu kwa nini hakupewa muda wa kujibu maswali kama wagombea wengine,me naona waliandaa kila ki2!ovyooooo
Mbona hakubebeka sasa HOVYO KABISA!
 
Chances of u being dumb are 98%. Au ni ushabiki wakijinga? That was de dumbest answer gave. Insane folks would say he gave out a good answer. Pole
Waliokuwa wote ndani ya ukumbi makada wa chama mnategemea nani atamuuliza bosi wake swali gumu. Kibonde congrat
 
Jamani niambieni, JK kajibu nin? Kweli huyu jamaa anauwezo wakuongoza nchi? Kibonde kashindilia msumali. Ndie maana kumbe alikataa debate na Slaa & Lipumba.
Nafungua mjadala

Mkuu ungesema hivi kwenye kichwa cha habari: JK NA MKUTANO WAKE NA WAHANDISHI WA HABARI ule sio MDAHALO ni MKUTANO MKUU maana nielewavyo mie Mdahalo huwezi kuwa na majibu umeandika maana hujui utaulizwa swali gani ila kwenye Mkutano unajua nini utaulizwa kwasababu tayari unazo minitues zote mkononi mwako na maswali na majibu pia unakuwa nayo
 
Jamani niambieni, JK kajibu nin? Kweli huyu jamaa anauwezo wakuongoza nchi? Kibonde kashindilia msumali. Ndie maana kumbe alikataa debate na Slaa & Lipumba.
Nafungua mjadala
Haya maswali si ndio yale yaliyokuwa yameandaliwa na majibu yake alikuwa nayo kwenye kadaftari. Jamaa anadesa mbele ya wapiga kura wake duuh!
 
Asubuhi alikuwa anafanaya mazoezi na vijana wa kilauris aa clouds na jioni ndo ilikuwa marudio!! hahahahahahahahahaaaaaaaaa:tape::tape::tape:
 
Back
Top Bottom