Kuna tetesi kuwa jk ameteua wakuu wa wilaya wapya. Mmoja wa wateuliwa hao ambaye vilevile ni m/kiti wa UVCCM katika mkoa mmoja wapo wa nyanda za juu kusini, inasemekana ameanza kujigamba na kutishia watu kwa kupata cheo hicho kipya.
Taarifa hizi nimezipata kutoka kwa mzee mmoja anbaye ni rafiki mkubwa wa m/kiti huyo wa uvccm. Alinieleza kuwa m/kiti huyo alimpigia simu na kumpa taarifa za uteuzi huo leo mchana.
Mwenye taarifa atujuze.