Elections 2010 JK ataweza kweli?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,347
6,471
Kama mwaka 1990 watanzania tulikuwa milioni 25.5, kufikia 2008 tulikuwa milioni 42.5 na inakadiriwa kufikia 2015 tutakuwa milioni 52.1 (World Bank, 2010). Sasa kama JK ameshindwa kuboresha maisha kwa kila mtanzania kufikia leo hii, je kufikia 2015 ataweza?
 
Back
Top Bottom