Elections 2010 JK atangaza USHINDI

fangfangjt

JF-Expert Member
Apr 25, 2008
571
139
JK atangaza ushindi kupitia facebook page yake
JAKAYA MRISHO KIKWETE FOR 2010 | Facebook


JAKAYA MRISHO KIKWETE FOR 2010 "Kwa ridhaa ya wananchi wa Tanzania,Mheshimiwa Rais Kikwete umekuchaguilwa katika kipindi kingine cha miaka mitano ya uongozi wa nchi hii,ili kuwatumikia wananchi katika shughuli zao za maendeleo ili kuliendeleza Taifa letu katika karne hii ya Ishirini na moja.Kwa niaba ya Vijana wenzangu wa Tanzania,napenda kutumia fursa hii kukupongeza kwa ushindi wa kishindo,pamoja na kukunakia kheri katika kuliongoza Taifa letu."
 
Huyu naye anajisumbua tu. Ataitawala tanzania kwa shida sana muhula huu. Dhambi ya wizi itamsuta daima, na sidhani hata yeye mwenyewe baada ya kuapishwa atakuwa na raha sana kwani urais wa safari hii kapewa mezani. Atakapokutana na washindani wake atajisikia hata aibu kuwasalimia. Nafsi/dhamiri huwa huwezi kuificha vinginevo imekufa. kama iko hai lazima ikuaibishe. Pole sana JK.
 
Back
Top Bottom