Elections 2010 Jk atakuwa mc mzuri sana!

Bio

New Member
Oct 16, 2010
4
0
Labda alishawahi kuwa mc huko nyuma basi kama sivyo amesoma alama za nyakati, huyu jamaa anajiandaa vyema kwa kazi hiyo baada ya oktoba 31 kwani kila nikitafakari anayoyasema na ahadi anazotoa hana tofauti na mc kwenye sherehe anayetia madoido kama kusema "hii shela ya bibi harusi imeshonwa mbinguni" . Alifanya usanii huo mwaka 2005 akapewa nchi yeye, mafisadi pamoja na familia yake wakaiharibu na sasa anaitaka tena, HATUKUBALI. After 31 october tutakuwa na mc mzuri sana, tumtumie!
Hii ni NGUVU YA UMMA.
 
Hivi mc akiugua ghafla katikati ya sherehe nini kinaweza kufanyika? Au DJ atachukua mikoba?
 
MC akiugua ni DJ au Meneja wa safafu flow Manager anafanya kazi..

JK anafaa kuwa Mc ila ni kwenye Mbesi na kitchen part tu..

Harusi hataweza.... Nitamtafutia kazi nyingi kanda ya kaskazini...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom