JK atahutubia Taifa leo?

Supervisor

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
559
207
Wana Jf.
Leo nimekuwa mbali na vyombo vya habari kwa hiyo cjaweza kujua kama leo `Bw Mkubwa` atahutubia Taifa letu hili linalohitaji katiba Mpya na sio viraka kama anavyotaka muraaa!

Nijulisheni...
 
Mbona nasikia kaenda kwao chalinze!au atatuhubia live kutoka chalinze.
 
Jamani lakini si ilisharekodiwa kwa hiyo ka kawaida naona itv wanairusha kwamba itakuwepo leo.
 
Back
Top Bottom