JK asifiwa kuhusu OBAMA

Watanzania by far hatujui lugha, Kiswahili au Kiingereza, mfano ni bodi hii hapa.

Tatizo ni kwamba, ingawa tuna wachache wanaoshine, hatuna system ambayo hairuhusu watu kupanda kwa merit.Rais wa Tanzania anapatikana kwa politiki nyingi kuliko merit.Kikwete hkupanda kwa merit ila kwa politiki. Waliompigia kura wamepata walicho deserve.

Hapa sasa tuko kwenye ukurasa sawa. Kweli sisi hatujui lugha.
Kuhusu mfumo wetu, ni kweli hauzingatii uwezo na uzoefu wa mtu. Mimi toka mwanzo sikudhani na hadi sasa sidhani kama Kiwete anafaa kuwa raisi wetu. Sidhani kama ana uwezo tosha wa kushikilia ofisi ile.
 
..jamani kinachogomba ni CONTENT ya kile alichozungumza. hilo ni tatizo kwa mtu aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje kwa miaka 10 mfululizo.

..Hilo jibu hapo juu ndiyo lina matatizo. Linaonyesha kwamba Raisi wetu, hata baada ya miaka 10 pale Foreign, na miaka 2 ya Uraisi, hajaiva kidiplomasia.

Hivi wee joka kuu usichoelewa hapo nini? au tupe alternative ulitaka Rais asemaje,usituchekeshe hapa.Ngoja basi tukutafsirie labda, well, our excitement is that President Bush is at the end of his term, and the U.S. is going to get a new President, whoever that one is.Furaha yetu ni kwamba Rais Bush yupo mwishoni mwa awamu yake ya uongozi na marekani inatajia kupata Rais mpya,yeyote awaye....lamsingi awe rafiki wa afrika kama alivyokuwa bush. Whats wrong with that.

Nyie mlitaka tuchukie Bush kuondoka madarakani?tunafurahi ndio kwani kapitia mikikimikiki mingi ngoja akapumzike salama,tabu iko wapi hapo?Ndio maana nimewaambia wenzetu wanaozungumza language similar to english huko west africa wakikosea aah hatuwacheki wala hatusemi wamekosea,wazungu wakiboronga kiswahili wala hatuwacheki tena tunawasaidia kweli,sisi mbongo aboronge,wee hata kama ana phd ataambiwa hajui lolote.Wakati huhuo wenzetu wakisema goodmorningi....thats ok,sisi mbongo akisema guudumorning weee ataandikwa huyo,utazani kaua mtu
 
nadhani hoja aliyotoa Pundit ni ya muhimu....kwamba mbali na vijikosa vya grammar kama ilivyoonyeshwa kwenye ujumbe tunaouongelea[ambavyo vinaweza kuvumilika]kuna suala la kuchafua ujumbe kwa kutumia neno 'excitement'pasipostahili. sidhani kwamba kikwete angeulizwa swali hilo kwa kiswahili angejibu na kuashiria maana ambayo inasomeka kwenye neno 'excitement'. kwa hiyo si vema tuanze kujipa moyo kwamba mapungufu kama haya si taabu kwa sababu tu eti vyombo vya habari vya nje havijakosoa wazi wazi.

Yes, maybe he used the word the wrong way. But I will still give him a pass for mis-speaking. People mis-speak all the time. And...it is much easier to mis-speak when speaking in a foreign language. Or it could be that he has the proclivity to mis-speak.....I see no big deal at all.
 
Hivi wee joka kuu usichoelewa hapo nini? au tupe alternative ulitaka Rais asemaje,usituchekeshe hapa.Ngoja basi tukutafsirie labda, well, our excitement is that President Bush is at the end of his term, and the U.S. is going to get a new President, whoever that one is.Furaha yetu ni kwamba Rais Bush yupo mwishoni mwa awamu yake ya uongozi na marekani inatajia kupata Rais mpya,yeyote awaye....lamsingi awe rafiki wa afrika kama alivyokuwa bush. Whats wrong with that.

Nyie mlitaka tuchukie Bush kuondoka madarakani?tunafurahi ndio kwani kapitia mikikimikiki mingi ngoja akapumzike salama,tabu iko wapi hapo?Ndio maana nimewaambia wenzetu wanaozungumza language similar to english huko west africa wakikosea aah hatuwacheki wala hatusemi wamekosea,wazungu wakiboronga kiswahili wala hatuwacheki tena tunawasaidia kweli,sisi mbongo aboronge,wee hata kama ana phd ataambiwa hajui lolote.Wakati huhuo wenzetu wakisema goodmorningi....thats ok,sisi mbongo akisema guudumorning weee ataandikwa huyo,utazani kaua mtu

Augustoon,

Hiyo ni sawa mgeni kaja kwako halafu anaondoka unasema "nafurahi sana unaondoka" badala ya "it is so sad to see you go". Inaweza kuchukuliwa kama unasema "good riddance" au "I couldnt stand you and I am so happy to see you go"
 
Mimi hata siku moja sijawahi kuchekwa na mzungu kwa kuchapia kiingereza. Ila nimeshachekwa sana na wabongo wenzangu. Laiti mngejua kiingereza ni lugha yangu ya ngapi....
 
Hapa sasa tuko kwenye ukurasa sawa. Kweli sisi hatujui lugha.
Kuhusu mfumo wetu, ni kweli hauzingatii uwezo na uzoefu wa mtu. Mimi toka mwanzo sikudhani na hadi sasa sidhani kama Kiwete anafaa kuwa raisi wetu. Sidhani kama ana uwezo tosha wa kushikilia ofisi ile.

Nakwambia watu wanataka tuvune ambacho hatukupanda,wakati wa uchaguzi watu wanashangilia mambo ya kijinga wanawaacha watu wa maana halafu wanataka Rais kipanga.Unataka Rais kipanga pigia kura mgombea kipanga, ukichagua mtu kilaza usitupigie kelele sisi baadaye atakapokuwa anabwabwaja!
 
Pundit
hahaha yaani unanivunja mbavu sana huku,japo hoja yako ni ya muhimu sana.Najaribu kunyoosha maelezo ya Rais japokuwa bado unamlima kwenye content no comment kwenye lugha nina comment.Labda sasa unyamaze.
 
Yes, maybe he used the word the wrong way. But I will still give him a pass for mis-speaking. People mis-speak all the time. And...it is much easier to mis-speak when speaking in a foreign language. Or it could be that he has the proclivity to mis-speak.....I see no big deal at all.

No big deal, except the speaker is a president and is speaking in the midst of concluding a $ 698 m deal.

Hapa sasa kama ndiyo mambo ya closed room preliminary deals Paris Clud watu wanaitana, msaada unasitishwa.The president is not an avid supporter of the Bush Administration.One grammatical mistake could cost a country $ 700 m !
 
Mimi hata siku moja sijawahi kuchekwa na mzungu kwa kuchapia kiingereza. Ila nimeshachekwa sana na wabongo wenzangu. Laiti mngejua kiingereza ni lugha yangu ya ngapi....

Sawa kabisa Nyani Ngabu.
Lakini jamani pia tusilaumiane sana huu mtindo wa mtu aliyepata d form four kwenye english au form six ndio ndio unampeleka kuwa mwalimu wa kiingereza au hesabu unategemea product yake itakuwaje?it has something to do also with our systems of education.Huku juu vyuo vikuu nk hatujifunzi luha tunapolish tu kile tunachokijua kwa Kuadd 15% msingi ujengwe toka chini.
 
No big deal, except the speaker is a president and is speaking in the midst of concluding a $ 698 m deal.

Hapa sasa kama ndiyo mambo ya closed room preliminary deals Paris Clud watu wanaitana, msaada unasitishwa.The president is not an avid supporter of the Bush Administration.One grammatical mistake could cost a country $ 700 m !

Hivi Pundit
Ile hotuba aliyokuwa akisoma uliisikiliza fesh mbona haina comment au ni kwa sababu kina salva ndo waliiandaa.naona comment nyingi zipo kwenye direct speech aliyoitoa mdomoni mwake mwenyewe.vipi hapo masaaada kwenye tuta?
 
Mimi hata siku moja sijawahi kuchekwa na mzungu kwa kuchapia kiingereza. Ila nimeshachekwa sana na wabongo wenzangu. Laiti mngejua kiingereza ni lugha yangu ya ngapi....

Nyani wewe si rais wa Tanzania kwa hiyo tutakupetesha.Ukigombea urais maana yake ni kuwa unawaambia watu kwamba una uwezo wa kuwaongoza nyumbani na kuwawakilisha kimataifa.Sasa kama hujui Kiingereza na huna humility/ sense ya kutumia mkalimani na unachemsha kiasi hiki unategemea tufumbie macho mapungufu hayo?

Kuachia vitu vidogo kama hivi ndiyo kunaleta matatizo makubwa.

Tatizo siyo kuwa Kikwete hajui Kiingereza tu, bali pia hakulijua hilo na hakuchagua kutumia mkalimani.Mbona AU kaongea Kiswahili na wasiojua wametafsiriwa? Ina maana yuko self conscious kuhusu kuongea Kiswahili?
 
No big deal, except the speaker is a president and is speaking in the midst of concluding a $ 698 m deal.

Hapa sasa kama ndiyo mambo ya closed room preliminary deals Paris Clud watu wanaitana, msaada unasitishwa.The president is not an avid supporter of the Bush Administration.One grammatical mistake could cost a country $ 700 m !

Yeah but Presidents are human, too. They are not a different species....therefore you can't demand perfection from them.
 
Hivi Pundit
Ile hotuba aliyokuwa akisoma uliisikiliza fesh mbona haina comment au ni kwa sababu kina salva ndo waliiandaa.naona comment nyingi zipo kwenye direct speech aliyoitoa mdomoni mwake mwenyewe.vipi hapo masaaada kwenye tuta?

Kiwete anahitaji handlers, watu wawe na kid gloves kila saa wanamsaidia. Alivyoingia MOFA kina Dim walifanya kazi ya ziada, na hata baada ya yote hayo matokeo yake ndiyo aibu kama hii.
 
Yeah but Presidents are human, too. They are not a different species....therefore you can't demand perfection from them.

Being able to speak good English is hardly perfection. We are setting our bars too low ourselves by voting in such goons and then we have the audacity to demand top quality leadership, how realistic is that?
 
Nyani wewe si rais wa Tanzania kwa hiyo tutakupetesha.Ukigombea urais maana yake ni kuwa unawaambia watu kwamba una uwezo wa kuwaongoza nyumbani na kuwawakilisha kimataifa.Sasa kama hujui Kiingereza na huna humility/ sense ya kutumia mkalimani na unachemsha kiasi hiki unategemea tufumbie macho mapungufu hayo?

Kuachia vitu vidogo kama hivi ndiyo kunaleta matatizo makubwa.

Tatizo siyo kuwa Kikwete hajui Kiingereza tu, bali pia hakulijua hilo na hakuchagua kutumia mkalimani.Mbona AU kaongea Kiswahili na wasiojua wametafsiriwa? Ina maana yuko self conscious kuhusu kuongea Kiswahili?

Anyways, some things come with the territory...and unfortunately in these utandawazi days nothing is sparred. Bush could have had a piece of dried nasal mucus hanging in his nostril and that faux pas would've been the dominant theme of his trip....ignoring all the other important things of his trip.
 
Being able to speak good English is hardly perfection. We are setting our bars too low ourselves by voting in such goons and then we have the audacity to demand top quality leadership, how realistic is that?

What does top quality leadership have to do with the ability to speak fluent english?
 
Hiyo ya lugha sio nzito sana kwani Bush mwenyewe bado ana struggle kutamka neno neuclear
 
Nimesoma posts hizi kwa mshangao mkubwa na nyingi zimeniudhi. Kasumba yako Pundit ni mbaya sana kama kweli wewe ni mswhili! Mengi yamesemwa na Nyani Ngabu na wengine, kwa kifupi si mzalendo na mateka wa kizungu.
Kitila ndugu yangu unamwona rais kilaza sana! Nakufahamu vizuri uwezo wako, sioni huo ukipanga unaoutaka kwa JK kma wewe unao. Hao unaosema ni vipanga wangechaguliwa kuwa rais, wanayo mapungufu mengine mengi pia, yaliyowafanya watu kutokuwachagua. Sijui ni akili kiasi gani ungetaka rais wako awe nazo, lakini naona mifano uliyotoa ni wenye PhD kama akina Lipumba, Mwandosya, Salim nk. Kumbuka uwezo wa mtu si mi PhD kama ambavyo unaamini kwani nawe unachohangikia hicho kwa kuunga unga ambapo siuoni u-brightnees wako hata kidogo. Si muda utataka ugombee urais kwani unayo PhD. Tafdhali acha kumlaumu tu saidai kama unaweza...usiwabeze zaidi ya 80% ya watz(waliojiandikisha) waliopiga kura kumchagua huyu mtu.
 
Nadhani itakuwa ni jambo la busara kama tuta- attack issue instead of attacking the Messenger !
 
Na mimi nilishawahi kumsikia Ahmed Tejan Kabbah akiwa so eloquent nilitamani siku moja rais wa Tanzania aweze kuongea vile.

Clearly you are not equating Kikwete to Mkapa,Mbeki or Obasanjo in that department, are you? Toa reference, two wrongs do not make a right.Even if the said president's did bungle a verb or two, still it doesn't make it right for Kikwete to do the same.We demand the best in every aspect from all our leaders.

If just expressing themselves is a problem what do you expect in international negotiations which involve 3d chess underwater with no gas masks while swimming with sharks without being eaten alive?

English is the least qualifications, and we are dismissing even that!

I don't mind that error, sir, because you are not my president!
 
Back
Top Bottom