JK Ashiriki Maziko Unguja

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
02.jpg

Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kawenye kaburi la aliyekuwa Waziri mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Marehemu Salum Juma Othman wakati wa mazishi yake yaliyofanyika huko Unguja leo mchana. Marehemu Salum Othman aliwahi kushika nyadhifa mbalimbali katika Chama na Serikali zikiwemo uwaziri,ukuu wa mkoa, katibu mkuu wa UVCC na mjumbe katika tume za Jaji Warioba,Jaji Kisanga na Jaji Nyalali.Pembeni ni Rais wa Zanzibar Dr.Ali Mohamed Shein na Makamu wa Kwanza wa Rais wa SMZ Seif Shariff Hamad.
 
01.jpg

Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akiomba dua pamoja na Rais wa Zanzibar Dr.Ali Mohamed Shein(wapili kushoto),Makamu wa kwanza wa Rais wa SMZ Seif Shariff Hamad(kushoto) pamoja na makamu wa pili wa Rais wa SMZ Balozi Seif Iddi(kulia) wakati wa mazishi ya Waziri mstaafu wa SMZ marehemu Salum Juma Othman yaliyofanyika huko Unguja leo mchana(Picha: Freddy Maro).
 
Yaani wamekaa kwenye viti mazikoni! Hadi wakashindwa kusimama, wana machungu na marehemu kuliko wafiwa.
 
HIVI KALAGABAHO ANA AKILI MBOVU AU ANA MAPEPO NA MAJINI? uzanzibar na ubara wapi na wapi? acha kuropoka.
 
wewe KALAGABAHO acha uropokaji km huna cha kusema ukae kimya.
WHO is MZANZIBAR and WHO is MBARA?

HIVI MIJITU MINGINE HATA IKISOMA VIPI BADO AKILI ZIKO KICHOGONI EEH?

ETI Mzanzibar au Eti Mbara hovyoooooo, km zumbukuku vile ujinga huu jaribu kuelimika japo kwa dk moja.
 
Back
Top Bottom