Jk asema nchi za africa zina rasilimali nyingi

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,481
1,364
Mu hali gani wanajamvi kutokanana na ripoti za magazeti mbali mbali yalivyoripoti leo ktk mkutano unaoendelea Arusha jk amenukuliwa akisema africa ina rasilimali nyingi ambayo haitumiwi vizuri.
Swali na maoni yangu : Hivi kumbe nae analitambua hili? Pia yeye si moja kati ya kiongozi wa africa mwenye wadhifa mkubwa kabisa? Kwanini asiwe mfano wa kuigwa kwa nchi nyingine za africa ktk kuitumia rasilimali za Tz ili ktk mkutano kama huo ajitolee mfano wa kuigwa? Maana kwa wadhifa anao, akiamua uwezo anao na sababu pia anayo.
Nawasilisha hoja tuijadili
 
Back
Top Bottom