JK arejea nchini!

Shauri

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
804
453
_DSC0221.JPG GO9G7747.JPG wana jf
nashindwa kuelewa kwa nini arejeapo jk kutoka majuu lazima viongozi wote muhimu waende kumpokea?kwani akienda makam wa raisi peke yake au waziri mkuu peke yake haitosho?huu ni ulimbukeni,au hawana kazi za kufanya,ndio maana tunazidi kuwa maskini.
 
aina haja ya viongozi kwenda , watu wa usalama wanatosha kwani wao ndio wenye jukumu kubwa; hao wengine wafuata posho tu za kumpokea rais
 
Na mbona Mizengo Pinda ameweka mikono kwa adabu zote kulikoni? Halafu mapokezi haya mpaka mkuu wa majeshi nchini nae yuko hapo? Tobaaa!:A S 13:
 
mkwere ana kazi sana...hivi hawa wanafikiriaga hata muda wa kutatua matatizo ya wananchi kweli....
 
Mbona huwa hatuoni pia wakimsindikiza kwa mbwembwe kama wanavyompokea akirudi.
 
Kikwete anamhoji Pinda kwa nini alitoa kibali cha maandamano ya Chadema kabla ya kufanya utafiti wa kiintelejensia
 
Na mbona Mizengo Pinda ameweka mikono kwa adabu zote kulikoni? Halafu mapokezi haya mpaka mkuu wa majeshi nchini nae yuko hapo? Tobaaa!:A S 13:
Pinda anaonekana kama anaona aibu na kusema ndio mzee..................
 
Huu upuuzi sijui utaisha lini? kupoteza pesa tu. Hawa wazee si waachie nchi waendeshe vijana twende na mtindo wa kisasa kuliko kuendelea kuabudiana kama miungu
 
Jamaa simpendi kunyenyeka utadhani shemasi aah. Ndo maana hana afanyacho. We umewahi ona Dr Pombe yuko ivo au Lowassa?
 
Huu ni mtindo unaojitokeza kutokana na style ya uongozi. Huenda ni maagizo ya Waziri Mkuu kwamba waende wakampokee maana ameshamfahamu ndivyo anavyopenda kupokewa. Na huenda ni yeye mwenyewe. Lakini huu ni mtindo wa kizamani sana na hauna tija kabisa haswa kwa nchi changa na isiyo na barabara zenye uwezo wa kuhudumia magari ipasavyo kwani mpaka hao wote wafike pale airport Dar ilisimama kwa muda.
Ingekuwa jambo la busara, na hapa ndipo utafahamu viongozi wachapa kazi wanavyojipanga, kama angeliwaita kuhudhuria Mkutano ili kuwapa briefing ya safari yake. Hilo lingekuwa ni ujenzi wa nchi, sasa huko airport sijui kunaongelewa nini na kinanukuliwa wapi? Na utekelezaji utakuwa lini? "common sense is not that common"
 
Nchi iko gizani ni JANGA....kwa hesabu ya juu juu gharama ya ndege malazi na hio petrol iliyotumika ya viongozi kumsindikiza na kumpokea vinywaji pale airport wakimsubiri,Gharama ya masaa waliopoteza kwa kusababisha msongamano mjini...Inaweza kutosha kununua generator ya kuzalisha MW kadhaa

Imefika wakti wa kuhoji hizi safari zinatunufaisha vipi sisi....hakuna nchi ya kiafrika inaweza kuatua matatizo ya ivory coast ni kupoteza tu hela zetu wakti tunazihitaji zaidi
 
Back
Top Bottom