JK aponda maandamano ya Arusha

bwakea

Member
Jun 5, 2009
45
1
Anasema hakuna ulazima wa kuandamana wakati wanawabunge wa kutosha bungen. Ni kupeleka hoja bungeni na si kuandamana.
 
JK unaogopa ya Egypt na Tunisia? Mara ngapi watanzania wamepata nafasi kupeleka hoja bungeni? JK, ullishaona tangu lini wabunge wa CCM wakiongelea kitu kinaitwa "issue za wananchi bungeni?" Kweli CCM ni jopo la maji machafu. Hata mfanyaje, maandamano yanakuja na JK utaondoka tu kabla ya 2015. Badala ya kuzungumzia watuhmiwa EPA, Radar, Richmond, Dowans, Arusha wanakwenda lini jela unapoteza muda wako. Nenda Saudi...
 
Alikua wapi siku zote kusema mpaka baada ya kuua watu? too late damu yao i mikononi mwake atajibu la kuwajibu. Hivi swala la halmashauri kuharibu utaratibu ni la kulipeleka bungeni? Crap!
 
Mbona wao wamefanya maandamano ya mshikamano hapa Dodoma leo. Kulikuwa na haja gani ya kuandamana kuonesha mshikamano badala ya kutumia tu vikao vyao kuonesha mshikamano. Huwa sipendi unafiki....
 
Haahaaa! Kuna watu huwa wanazimika zimika bila utaratibu. Baada ya muda wote huu, na Chadema kupata walichotaka, ndio anagundua yale maandamano hayakuwa ya lazima? Walitaka kuwaingiza mkenge na jazba zenu mkauingia huo mkenge. Kweli Mwenyezi Mungu tumuombe hekima, duuh
 
JK unaogopa ya Egypt na Tunisia? Mara ngapi watanzania wamepata nafasi kupeleka hoja bungeni? JK, ullishaona tangu lini wabunge wa CCM wakiongelea kitu kinaitwa "issue za wananchi bungeni?" Kweli CCM ni jopo la maji machafu. Hata mfanyaje, maandamano yanakuja na JK utaondoka tu kabla ya 2015. Badala ya kuzungumzia watuhmiwa EPA, Radar, Richmond, Dowans, Arusha wanakwenda lini jela unapoteza muda wako. Nenda Saudi...

Aende kufanya nini?
 
Back
Top Bottom